Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali Mkuu.Daaa nilitoka kidogo maeneo nilokuwepo mtandao ni mtihani mkuu! Daaa mbumbumbu FC wanavyopiga kelele humu utadhani kwenye ligi huwa wanashinda kwa jasho lao!!
😔Labda waokota mipira wa Sevila
WashakwamaNawaona tu na siasa zao ambazo hazina vichwa wala miguu.
Shadeeya mimi nakualika leo kwenye mechi ya Lunyasi na kina Masau Bwire, hayo matokeo ya jana hayana maana sana wakati Simba ikiendelea kurarua kila anaekatiza mbele yake. Sijui kama unahesabu tunamebakiza mechi ngapi tubebe ndoo yetu?
Kwani Manara anazungumziaje suala la HINDU MANDAL Mkuu!!Shadeeya mimi nakualika leo kwenye mechi ya Lunyasi na kina Masau Bwire, hayo matokeo ya jana hayana maana sana wakati Simba ikiendelea kurarua kila anaekatiza mbele yake. Sijui kama unahesabu tunamebakiza mechi ngapi tubebe ndoo yetu?
Hahaha sawa bwana hongereni kwa ushindi usio na makando kando [emoji3][emoji14]Nisemeje Mtani. Hahahahaaa. Ila tumewanyamazisha banna.
Mana hapa ingekuwa mnamwaga vijembe tu leo. [emoji3]
Saaaafiiiiii, saaafi sanaaaaaaaLeo bingwa wa nchi timu tishio zaidi kuwahi kutokea kwenye ramani ya soka la Dunia.
Mnyama mkali Simba sc anashuka dimbani kukamilisha ratiba baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu huku zikisalia mechi chache kabla ya kuhitimisha msimu.
Simba nguvu moja Shadeeya
Jana tumebebwa sana na tulikuwa tunapumulia mashine, kwakweli tukubali tu Azam na Simba wanatuacha mbali sana.NO! Yanga bingwa!
Kauli thaabit kabisa hiiJana tumebebwa sana na tulikuwa tunapumulia mashine, kwakweli tukubali tu Azam na Simba wanatuacha mbali sana.
Laana ya mzee akilimali bado inatutafuna
Eeeh. Mnakutana na wazee wa mpapaso.Leo bingwa wa nchi timu tishio zaidi kuwahi kutokea kwenye ramani ya soka la Dunia.
Mnyama mkali Simba sc anashuka dimbani kukamilisha ratiba baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu huku zikisalia mechi chache kabla ya kuhitimisha msimu.
Simba nguvu moja Shadeeya
Ukimfuatilia sana atakuwa Mbumbumbu huyo anayejivika shuka la Uwananchi.
Huyo ni Yanga lialia kabisa🤣🤣🤣Mbumbumbu mwenzenu huyo. Na hapo ulipaswa umuulize ilipobebwa ni wapi au huko Instagram wanakopigaga umbea mana Uwanjani hatukuliona hilo.
Mbumbumbu mwenzenu huyo. Na hapo ulipaswa umuulize ilipobebwa ni wapi au huko Instagram wanakopigaga umbea mana Uwanjani hatukuliona hilo.
Mpapaso wao huwa unawahusu sana Yanga wakikutana na mnyama Simba ni GHARIKA la magoli tu.Eeeh. Mnakutana na wazee wa mpapaso.
Baelezee baeleweMpapaso wao huwa unawahusu sana Yanga wakikutana na mnyama Simba ni GHARIKA la magoli tu.
Simba nguvu moja
Akaaaa!! Kama ni mshabiki wa Yanga ajiangalie vizuri. 😅😅😅😅Huyo ni Yanga lialia kabisa🤣🤣🤣