Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200617_130726.jpg
 
Kisa Timu ya Wananchi imeenda kupata huduma kwenye maduka ya GSM. 😎😎😎

Wacha uongo basi. 😳
Shadeeya bwana sasa jambo dogo hivyo lililofanywa na SAIDIA BABA Fc ndio liwakoseshe furaha wana Unyamani? 😬🐸

Siyo uongo Shadeeya na Jumapili timu yangu ya utotoni ni Azam fc.😝
 
Shadeeya bwana sasa jambo dogo hivyo lililofanywa na SAIDIA BABA Fc ndio liwakoseshe furaha wana Unyamani? 😬🐸

Siyo uongo Shadeeya na Jumapili timu yangu ya utotoni ni Azam fc.😝
Hahahahaa. Lol.

Kama nawaomeni mnavyoitamani hiyo jumapili ifike ambapo Azam tunalipa kisasi kwake kile cha round ya kwanza kwa kumchapa 2 kwa bila. 😎😎
 
Hamwezi kumfunga azam
Hahahahaa. Lol.

Kama nawaomeni mnavyoitamani hiyo jumapili ifike ambapo Azam tunalipa kisasi kwake kile cha round ya kwanza kwa kumchapa 2 kwa bila. [emoji41][emoji41]
 
Yanga wakikukosa Dakika Za MWANZO HAWAKUFUNGI TENAA.
ndo masharti ya mganga wao.
sasa leo wameanza wao kupigwa NDO BAE BAE[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom