Hahahaaa. Usiponiona ujue alfajir naamkia hapa.Sawa usije ukakimbia baadae ukasingizia unaenda kupika😜😜🐸🐸🐸
Kila la kheri JKT nawatakia ushindi mnono.
Shadeeya bwana sasa jambo dogo hivyo lililofanywa na SAIDIA BABA Fc ndio liwakoseshe furaha wana Unyamani? 😬🐸Kisa Timu ya Wananchi imeenda kupata huduma kwenye maduka ya GSM. 😎😎😎
Wacha uongo basi. 😳
Hahahahaa. Lol.Shadeeya bwana sasa jambo dogo hivyo lililofanywa na SAIDIA BABA Fc ndio liwakoseshe furaha wana Unyamani? 😬🐸
Siyo uongo Shadeeya na Jumapili timu yangu ya utotoni ni Azam fc.😝
Hahahahaa. Lol.
Kama nawaomeni mnavyoitamani hiyo jumapili ifike ambapo Azam tunalipa kisasi kwake kile cha round ya kwanza kwa kumchapa 2 kwa bila. [emoji41][emoji41]
TayariTulizeni mshono Mbumbumbu nyie
Tayari
JKT tupo pamoja