Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Jumapili nategemea kushuhudia hat trick kwenye ligi kuu, bila shaka Azam fc hawataniangusha kwenye hilo.

Masumbwi Football Club inabidi mjipange angalau mfute uteja safari hii.
Na ndio kitakachotokea hawawezi tufunga mara mbili na amini timu ya Wananchi tunashinda 2 bila.
 
Hahahaha, mtani naona mdg mdg mabadiliko yanakuja , kesho utakuwepo taifa
Ndio Mtani naamini mpaka hiyo miaka mitatu na nusu tuliyoungana nayo watakuwa wametupa mengi ambayo yatatuweka pazuri Timu ya Wananchi.

Yees!! Nitakwenda Mtani.
 
Ndio Mtani naamini mpaka hiyo miaka mitatu na nusu tuliyoungana nayo watakuwa wametupa mengi ambayo yatatuweka pazuri Timu ya Wananchi.

Yees!! Nitakwenda Mtani.

Na ukongwe wote huo bado mnasubiria kupewa vya bure[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…