Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ingekuwa ni rahisi isingekuwepo Timu ya Wananchi mpaka sasa.Na uwezo tunao na dhamira ya kuibomoa Utopolo tunayo[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa ni rahisi isingekuwepo Timu ya Wananchi mpaka sasa.Na uwezo tunao na dhamira ya kuibomoa Utopolo tunayo[emoji1]
Unanikumbusha kale ka kaulimbie kenu kale[emoji1787][emoji23][emoji3]
Tuone sasa hiyo sheria ikipindishwa kisa mna hela. 😎Mwenye hela huwezi kubishana nae[emoji16]
Mnatuzoom wapi wakati mnaogopa kuadhirika. 😀Tulia sindano iwaingie, sisi tupo kiiimya tuna wa zoom tu mnavyo tapatapa
Ingekuwa ni rahisi isingekuwepo Timu ya Wananchi mpaka sasa.
Hana ubavu huo.Ndanda wanamchukua huyu nyie bakini kupiga kelele tu😂🤣😂
Na ndio tushawapeleka TFF sasa. 😎😎Huwa mnajua kujifariji[emoji23]
Tuone sasa hiyo sheria ikipindishwa kisa mna hela. [emoji41]
Hana ubavu huo.
Na ndio tushawapeleka TFF sasa. [emoji41][emoji41]
Kujifariji au ndio ukweli.Huwa mnajua kujifariji[emoji23]
Nyie subirini tuHana ubavu huo.
Wao wanadhani kuna muarobaini kuleUko TFF hakuna maajabu yoyote
Kujifariji au ndio ukweli.
Sema unaenda kujenga Taifa Mtani. 😀😀Unatype kinyonge sana mtani sorry sikutanii tena[emoji23]bye sitaki uanze kulia
Uko TFF hakuna maajabu yoyote
Wakipindisha sheria tunapanda juu zaidi. 😎Wao wanadhani kuna muarobaini kule
Nyie subirini tu
Mtani unaongea na simu? 😅Kumbe unajua mwenye ubavu ni Simba Tu
Wao wanadhani kuna muarobaini kule
Sema unaenda kujenga Taifa wacha kunigeuza sababu. [emoji3][emoji3]
Uwiiii. Nilie kisa Mnyero FC lol. Wacha maskhara mtani.