Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Mpaka mashabiki wao hasa Shadeeya waombe poo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanajisumbua bure tu uyo mchezaji wao tegemeo lazima aje avae jez nyekundu halafu anakaa bench[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka mashabiki wao hasa Shadeeya waombe poo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lunyasi nguvu mojaaa💪💪💪Hahahaaa. Sawa shabiki wa Mnyero. Teh
Bahati nzuri jeuri hiyo tunayo🤣Wanajisumbua bure tu uyo mchezaji wao tegemeo lazima aje avae jez nyekundu halafu anakaa bench[emoji1]
Hahahaaa. Kumbee eee?Sisi tunawafanyia jeuri tu,anasajiliwa halafu anakaa bench[emoji3]
Kweli malipo ni hapahapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa. Eti Umafia. Lol.Tuendelee kuwafanyia umafia mpaka watuelewe
Hahahaaa. Sawa shabiki wa Mnyero. Teh
🤣🤣🤣🤣 Ndio sababu mkajiita Mapresident ili baadae mjikane. LolMwenye hela hafati sheria mtani usijifanye umesahau[emoji16]
Bahati nzuri jeuri hiyo tunayo[emoji1787]
Hahahaaa. Kumbee eee?
Hivyo mkategemea kumuhadaa na hicho kishika uchumba chenu Teh ambacho mwenyewe alishagutuka kwamba hamna namba huko na ndio sababu amesema kama mkiihitaji atakirudisha.
Hahahaaa. Eti Umafia. Lol.
😂😂😂😂Kipindi kile mlikuwa mabosi na mlikuwa wababe sana sasa malipo ni duniani naomba mtulizane
Tulia sindano iwaingie, sisi tupo kiiimya tuna wa zoom tu mnavyo tapatapaHivi ropo ropo wenu yupo kweli mbona hili halivalii njuga? 😀😀
Kwamba Mnyero fc mnachafuliwa?
Tusubiri tuone. 😔Wanajisumbua bure tu uyo mchezaji wao tegemeo lazima aje avae jez nyekundu halafu anakaa bench[emoji1]
Unanikumbusha kale ka kaulimbie kenu kale🤣😂😀Hadi tone la mwisho. Hiyo kauli haiezi kuwepo. 😅
Bahati nzuri jeuri hiyo tunayo🤣
Hahahahaaaa. Lol.Naona unatype uku unatetema[emoji23]
Ndanda wanamchukua huyu nyie bakini kupiga kelele tu😂🤣😂