Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Utopolo fc [emoji196][emoji196] [emoji196], no discipline, fighting is a priority!

Daima Nyuma Mbele Mwiko!![emoji23]
 
Uongozi wa klabu ya Yanga rasmi umepeleka malalamiko Shirikisho la soka nchini (TFF) kuhusu kushawishiwa winga wake Bernard Morrison kujiunga na klabu nyingine kinyume Cha sheria,ili haki itendeke na hatua stahiki ziweze kuchukuliwa.

Kaimu katibu Mkuu wa Yanga Wakili Simon Patrick amesema klabu haiwezi kufumbia macho maelezo yaliyotolewa na Winga huyo ambaye ameweka wazi kila kilichotokea. '....Mchezaji wetu ameeleza kila kitu,hivyo tumepeleka malalamiko yetu TFF na chombo husika kitasikiliza kutokana na ushahidi tuliouwasilisha na kutolea maamuzi.

Patrick amesema tayari ushahidi umekusanywa kwa ajili ya suala hilo ikiwa ni pamoja na kumhoji mchezaji na vielelezo vingine vinavyohusiana na suala hilo.

Source:Yanga App.
 
20200619_070909.jpg
Wanasemaga kila MUOSHA HUOSHWA.
Mlipigaga kelele sana issue ya Chama haya leo zamu yenu.
 
S
Wanasemaga kila MUOSHA HUOSHWA.

Mlipigaga kelele sana issue ya Chama haya leo zamu yenu.

Chura FC inatoa mikataba ya miezi mitatu mitatu kwa wachezaji wake utadhani vibarua wa kukata miwa kwenye yale mashamba kule Turiani na Kilombero. Hawajui kwamba sheria inaruhusu mchezaji akibakiza chini ya miezi sita kwenye mkataba na timu yake ya sasa anaweza kufanya mazungumzo na klabu nyingine
 
Lakini alishasaini kihalali miaka miwili akiwa ndani ya hiyo miezi sita. 😎😎
 
S

Chura FC inatoa mikataba ya miezi mitatu mitatu kwa wachezaji wake utadhani vibarua wa kukata miwa kwenye yale mashamba kule Turiani na Kilombero. Hawajui kwamba sheria inaruhusu mchezaji akibakiza chini ya miezi sita kwenye mkataba na timu yake ya sasa anaweza kufanya mazungumzo na klabu nyingine
Najua hapa ndio mnaona pa kujitetea kwamba mchezaji akiwa amebakisha miezi sita kurudi chini ana haki ya kufanya mazungumzo na klabu nyingine. Lol.

Tusubirini tuone itakuwaje Ses.

Mnalo. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom