Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Sina hakika kama wachezaji wote wa azam wamerudi maana aalikuwa wanalalamika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hakika kama wachezaji wote wa azam wamerudi maana aalikuwa wanalalamika
Usiulize matokeo, uliza kadi ngapi! Red 1, Yellow 3Yeboyebo matokeo yapoje?
Jumapili si mbali Mkuu.Hamwezi kumfunga azam
Mnasubiri mpaka mpate matokeo ndo muanze kusumbua watu wazima[emoji16]
Khaaa!!! Mtani naona jana hujataka nikuletee matokeo. 😎Nyie utopolo mko wapi[emoji16]
🤣🤣🤣Tayari
..JKT tupo pamoja
Nipo kuna habari gani eti?Wapi Mama Yanga @Shadeeya [emoji12]
Doooh!! Na kweli aiseee mana si kawaida yako.Leo nimekaa kiugomvi ugomvi[emoji16]
Wachokozi sana nyie mana mkaamua kuweka kambi. LolMtani nipe updates za Dom
Dooh!! Kaka kama nakuona ulivyonuna. LolDah..hawa JKT nao wanatuangusha!
Ila nyie huwa mna fujo sana aisee. Lol.Akija me nitajificha[emoji16]
Kinyoonge. Lol.
Hahahaaa. LolDah...🤔🤔🤔
Kazi gani hiyo? Tulia Mkuu jumapili si mbali eti.Lamine Moro hatakwepo mechi ya jumapili na azam kala kadi nyekundu kazi mnayo
😀😀😀 Ila mnajua sana kutukalia kooni Mtani. Lol.