babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Pia wasisahau kutupa njia wanayoitumia kupulizia ile dawa pendwa_USHABIKI SIYO UADUI_ ,
_TAFADHALI WANA SIMBA BAADA YA KUCHUKUA UBINGWA TUTAOMBA MTUPE MAJUMUISHO YA GHARAMA ZOTE MLIZOTUMIA KWA MAREFA WALIOCHEZESHA MECHI ZENU ILI TUJUE KAMA NI AFFORDABLE.
PIA KAMA HAMTOJALI TUTAOMBA MTUAMBIE URAHISI NA CHANGAMOTO MLIZOKUTANA NAZO KWENYE HUO MCHAKATO WOTE HADI MNAFANIKIWA KUBEBA UBINGWA, KUANZIA KWENYE KUONANA NA MWAMUZI MPAKA PROCESS YA KUFANYA MUAMALA.
*TUNATANGULIZA SHUKRANI, MUNGU **AWABARIKI* !!*_ [emoji120][emoji120]_
Pale Ngasa alipokaribia kuwaua mbumbumbuHahahahaaaa. Kawaida yao hao.
Kama nawaona walivyokaa nusu nusu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu jamaa wa Timu ya Wananchi anawacheka kwa mbaaali. 😂😂😂Pale Ngasa alipokaribia kuwaua mbumbumbuView attachment 1490440View attachment 1490441
_USHABIKI SIYO UADUI_ ,
_TAFADHALI WANA SIMBA BAADA YA KUCHUKUA UBINGWA TUTAOMBA MTUPE MAJUMUISHO YA GHARAMA ZOTE MLIZOTUMIA KWA MAREFA WALIOCHEZESHA MECHI ZENU ILI TUJUE KAMA NI AFFORDABLE.
PIA KAMA HAMTOJALI TUTAOMBA MTUAMBIE URAHISI NA CHANGAMOTO MLIZOKUTANA NAZO KWENYE HUO MCHAKATO WOTE HADI MNAFANIKIWA KUBEBA UBINGWA, KUANZIA KWENYE KUONANA NA MWAMUZI MPAKA PROCESS YA KUFANYA MUAMALA.
*TUNATANGULIZA SHUKRANI, MUNGU **AWABARIKI* !!*_ [emoji120][emoji120]_
Nakazia. Hebu watupe maujuzi hapa. 😂😂Pia wasisahau kutupa njia wanayoitumia kupulizia ile dawa pendwa
Ha ha ha ha kiupandeupandeHahahahaaaa. Kawaida yao hao.
Kama nawaona walivyokaa nusu nusu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Dooh kweli mkuu kale kanjia nako ni muhimu kujifunzaPia wasisahau kutupa njia wanayoitumia kupulizia ile dawa pendwa
Hyo picha pale juu ni nzuri sana. Mbumbumbu wanataka kulia halafu mwananchi anacheeekaaaa!!Pale Ngasa alipokaribia kuwaua mbumbumbuView attachment 1490440View attachment 1490441
Ila kale kanjia kwa kupulizia vyumbani nako kaliwalipa aisee!! Hapa itabidi watufundishe namna ya kupata ujasiri wa kufanya hivyo na pia ni mida gani mizuri ya kupuliziaNakazia. Hebu watupe maujuzi hapa. [emoji23][emoji23]
Na mechi walizonunua against us._USHABIKI SIYO UADUI_ ,
_TAFADHALI WANA SIMBA BAADA YA KUCHUKUA UBINGWA TUTAOMBA MTUPE MAJUMUISHO YA GHARAMA ZOTE MLIZOTUMIA KWA MAREFA WALIOCHEZESHA MECHI ZENU ILI TUJUE KAMA NI AFFORDABLE.
PIA KAMA HAMTOJALI TUTAOMBA MTUAMBIE URAHISI NA CHANGAMOTO MLIZOKUTANA NAZO KWENYE HUO MCHAKATO WOTE HADI MNAFANIKIWA KUBEBA UBINGWA, KUANZIA KWENYE KUONANA NA MWAMUZI MPAKA PROCESS YA KUFANYA MUAMALA.
*TUNATANGULIZA SHUKRANI, MUNGU **AWABARIKI* !!*_ [emoji120][emoji120]_
Yaani picha safi sana ile.Hyo picha pale juu ni nzuri sana. Mbumbumbu wanataka kulia halafu mwananchi anacheeekaaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shem mi sijambo. Natumai nawe umzima pia.Na mechi walizonunua against us.
Duuu kweli asee ushahidi anao Kabwili,wanamuogopa kishenzi!!Na mechi walizonunua against us.
Ni kama wanaichelewesha Mahakama kufanya kazi yake. Wanajitutumua ili eti waicheleweshe Simba kubeba ndoo hawajui kua shughuli isha kwisha😂😂😂Naona umepata nguvu😎
Nyinyi ndio mnachelewesha mambo ujue😂Ila hii ligi bora iishage tu.
Mie poa kabisa shemela.Shem mi sijambo. Natumai nawe umzima pia.
Watupage tu haya maujuzi kwa kweli. 😂
Hahahaaa. Namshangaa yule ropo ropo wao aliyesema timu ya inachafuliwa.
Leo nimekumbuka Dada yangu Nifah uko wapi jamaani.
I miss u. Nakumbuka sana vile ulikuwa unawafanyia fujo hawa upande wa pili.