Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Vipi lakini umema maana TANESCO wana makusudi sana aisee๐๐๐๐Hatujakata tamaa bado. ๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi lakini umema maana TANESCO wana makusudi sana aisee๐๐๐๐Hatujakata tamaa bado. ๐๐
๐๐๐ Leo umeme upo ๐๐๐Najua ni wakati gani tutasikia eti TANESCO wamezingua huko kwa hiyo hujaangalia magoli mnayofungwa nyie
Msijali game yenu hii mtashinda...โNlivyoona foul ingine nkajua wanapata la tatu. ๐๐๐๐๐
Mpaka sasa wamenivumilia. ๐๐๐Vipi lakini umema maana TANESCO wana makusudi sana aisee๐๐๐๐
Eti eee? ๐๐Msijali game yenu hii mtashinda...โ
Tusubiri Ndanda wafanye yao lugha itabadilika hiyo na utawasingizia Tanesco wawatu๐๐๐๐๐๐ Leo umeme upo ๐๐๐
Na leo TANESCO wamesema hawakati umeme mpaka Shadeeya ashuhudie wanavyosulubiwa.Najua ni wakati gani tutasikia eti TANESCO wamezingua huko kwa hiyo hujaangalia magoli mnayofungwa nyie
Naam dada ngapngapHatushindi njaa Mdogo wangu mana tayari tushamnywesha kimoja huko.
Tena tutamtafutia standby generator akose sababuNa leo TANESCO wamesema hawakati umeme mpaka Shadeeya ashuhudie wanavyosulubiwa.
2 kwa 2Naam dada ngapngap
Hahahahahaa!! LolTusubiri Ndanda wafanye yao lugha itabadilika hiyo na utawasingizia Tanesco wawatu๐๐๐
๐๐Tena tutamtafutia standby generator akose sababu
Wetu hawa Mkuu.
Mikia leo hawajaanzisha uzi lol.
Ndio ndio.De Mkunungu 3 - 2 Ndanda
DK 73
Hizi Updates uwe unazileta hadi kwenye zile nyuzi wanaanzisha mikia wenzio Mtani. ๐๐๐De Mkunungu 3 - 2 Ndanda
DK 73
Leo mnacheza netball naona...Mikia leo hawajaanzisha uzi lol.
Mana huwa wana vimbelembele. ๐๐๐ Wamejua kuotea.