Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyu Shikalo naye. [emoji17][emoji17][emoji17]
huyu yanga wamuache....hiyo nafasi ya shikalo wasajili mchezaji wa nje anayeweza saidia timu siyo golikipa, magolikipa bongo wapo kibao wenye viwango, mfano yule wa coast union..
 
huyu yanga wamuache....hiyo nafasi ya shikalo wasajili mchezaji wa nje anayewezaisaidia timu siyo golikipa, magolikipa bongo wapo kibao wenye viwango, mfano yule wa coast union..
Hakika na huyu Shikalo tangia arudi toka Mombasa amenenepa kimtindo.
 
Back
Top Bottom