Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ndio sisi wana Yanga kindakindaki.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Kule Uingereza kuna kautaratibu kao kazuri ningependa Bongo tukaige. Bingwa wa nchi anapopatikana kabda ya ligi kuisha inabidi kwenye mechi zinazofuata timu zote inazocheza nazo zijipange mistari miwili huku zukiipigia magofi Machapioni kabda ya mechi kuanza.

Chura FC hebu simameni kwa heshima na mtupigie makofi tafadhaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huko umeshasema ni Uingereza Ses.

Nani asimame kwa bingwa gani basi. Chhhaaaaaaa.
 
Labda waende pale Karume. Kwani bingwa wa kweli ni TFF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…