Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na alijua kubebeka. 😀Ubingwa wa mbelekoView attachment 1492217
Mtani unafaa kumsaidia bumbuli na swahiba Antonio nugaz
🤣🤣Mtani unafaa kumsaidia bumbuli na swahiba Antonio nugaz
Uko vzr umenifanya niufuatilie huu Uzi[emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa. Lol.Uko vzr umenifanya niufuatilie huu Uzi
Vzr ,sie wengine unatuhabarishaHahahaaa. Lol.
Karibu Mtani. Nafasi ikiwepo kila habari inayohusu Timu ya Wananchi huwa tunatupia huku.
Haya Mtani.Vzr ,sie wengine unatuhabarisha
Wanayumba sana kwakweli😂😂😂Simba bingwa basi wajameni hata pongezi hamna? Yanga mbona nyinyi wastarabu mna tatizo gani wajameni?
Usisite kutupia hata zile za kuparurana na wachezaji wenye vitambi😂😂😂Hahahaaa. Lol.
Karibu Mtani. Nafasi ikiwepo kila habari inayohusu Timu ya Wananchi huwa tunatupia huku.
Kuna maswaliiii?Simba
Hii mechi imeisha kabla haijachezwa.
Mkuu utafanya Shadeeya asionekane humu hadi keshokutwa, tena atakuja na kuanza kuwatupia lawama TANESCO😂😂😂Hatimaye ile safari yetu ya matumaini ya kubeba kombe la FA inahitimishwa leo na wana super mkurukumbi Kagera sugar.
Kila la kheri Kagera sugar goli 3 zinawafaa sana hawa Mkunungu.
Hahaa akija hapa hiyo keshokutwa utasikia ooohh eeehh iiiiihhh yuu noo stili bado Yanga ni Yanga ofukozi bati amu shua, nini Shadeeya unataka kushua nini?😜😎Mkuu utafanya Shadeeya asionekane humu hadi keshokutwa, tena atakuja na kuanza kuwatupia lawama TANESCO😂😂😂