Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200629_191630.jpg
 
Hatimaye ile safari yetu ya matumaini ya kubeba kombe la FA inahitimishwa leo na wana super mkurukumbi Kagera sugar.

Kila la kheri Kagera sugar goli 3 zinawafaa sana hawa Mkunungu.
 
Mkuu utafanya Shadeeya asionekane humu hadi keshokutwa, tena atakuja na kuanza kuwatupia lawama TANESCO😂😂😂
Hahaa akija hapa hiyo keshokutwa utasikia ooohh eeehh iiiiihhh yuu noo stili bado Yanga ni Yanga ofukozi bati amu shua, nini Shadeeya unataka kushua nini?😜😎
Hawa Kagera watatuletea balaa hapa ni swala la muda tu.
 
Back
Top Bottom