๐๐Huu mchezo wano siku nyingiView attachment 1499528
Hawa wanaenda kuwavuruga kisaikolojia kwanza kabda hamjakutana na Lunyasi
Sema wanaenda kutia chachu ya kuja kumkata mtu mkia. ๐Hawa wanaenda kuwavuruga kisaikolojia kwanza kabda hamjakutana na Lunyasi
Angalau katika hili la kupinga mchezo wa kibabe na kuumizana kwa makusudi uwanjani tunaweza kuungana Shadeeya. Kuna wachezaji wanadhani mpira ni vita au ni boxing. Bila kuumiza wenzao hawajisikii vizuri.Daktari wa klabu ya Yanga Dk Shecky Mngazija amesema hali ya kiungo fundi Haruna Niyonzima ambaye alipata maumivu kwenye mchezo dhidi ya Biashara United, anaendelea vizuri.
Niyonzima alicheza mchezo huo kwa dakika saba tu baada kupata majeraha kwenye dakika ya tatu na kulazimika kutoka kwenye dakika ya saba baada ya kushindwa kuendelea na mchezo.
Dk Mngazija amesema Niyonzima anaendelea na matibabu na upo uwezekano atakuwa sawa kabla ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa Julai 09.
Aidha ameeleza kusikitishwa na mchezo wa kibabe ulioonyeshwa na vijana wa Biashara United ambao umesababisha nyota wake upata majeraha.
"Siyo Niyonzima tu, nahodha wetu msaidizi Juma Abdul na Abdulaziz Makame nao wamepata majeraha lakini tunashukuru wote wanaendelea vizuri," alisema.
Baada ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar, Yanga itarejea jijini Dar es salaam ambapo Julai 12 inakabiliwa na mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Simba.
Shadeeya, unajua tumewatafuta longtime ili tuwaonyeshe kua kunguru kumnyea binadamu sio kwamba anashabaha saaana bali kabahatisha tu. Na sasa mmeingia kwenye 18 zetu.Sema wanaenda kutia chachu ya kuja kumkata mtu mkia. ๐
Sina pupa mie sababu najua sehemu ambayo tukiwashikka hutakuwa na pa kufurukuta.Shadeeya, unajua tumewatafuta longtime ili tuwaonyeshe kua kunguru kumnyea binadamu sio kwamba anashabaha saaana bali kabahatisha tu. Na sasa mmeingia kwenye 18 zetu.
Njooni na woooote akiwemo mshambuliaji hatari sana bwana Ykpe, mfungaji wenu bora wa muda wote Molinga na hata Morison acheze tu ili kusiwe na sababu ya kuitoa pale tutakapokua tunakatisha ndoto na matumaini yenu ya kushiriki michuano yoyote ya kimataifa msimu huu
Mavi ya kale hayanuki.Moo fc.kubalini tuu kuwa sisi ni wakubwa zenu..
Tulishapitia hayaaView attachment 1499993
Tena wahenga wakaendelea kusema kua "Ajisifiaye kwa alioyafanya jana ujue leo hajafanya kitu".Mavi ya kale hayanuki.
Hahaa Chura wameishiwa wamebaki na historia za marehemu.Tena wahenga wakaendelea kusema kua "Ajisifiaye kwa alioyafanya jana ujue leo hajafanya kitu".
Hii inawagonga moja kwa moja Chura FC๐
C c Shadeeya ๐๐๐Hahaa Chura wameishiwa wamebaki na historia za marehemu.
Utopolo ni mzigo
Hii Aione Danpol . ๐Moo fc.kubalini tuu kuwa sisi ni wakubwa zenu..
Tulishapitia hayaaView attachment 1499993
Hahahahaa. Afadhali kisingizio tayari unacho.De Mkunungu mshapata wachawi? siku zinaisha.
Hahahahaaa. Eti Nini? ๐ณMavi ya kale hayanuki.
Hahahaa. Naona mmeanza kutumia vibaya kauli za wahenga.Tena wahenga wakaendelea kusema kua "Ajisifiaye kwa alioyafanya jana ujue leo hajafanya kitu".
Hii inawagonga moja kwa moja Chura FC๐