Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Habari zenu tunazo. [emoji3][emoji3][emoji3]
Uelekeo Mtwara. Lol. Mumpelekage shule yule ropo ropo wenu. [emoji23][emoji23][emoji23]​

Angalau awe na kauwezo ka kufikiria na kuona mbali.
Sasa yote haya ya nini hadi kujibanza na kujificha nyuma ya semi trailer? Najua lengo lao tusiwaone walivyokuwa mbumbumbu wakajua hatutawaona kwa sababu wamejibanza kwenye migari mikubwa mikubwa
 
Huyu atakuja awalaze cha mende muanze kutema mate mje kulialia kama mbwa
Anamaanisha nini huyu!?
JamiiForums-817283681.jpg
 
Viongozi wetu mi huwa siwaelewi weledi wao uko wapi hizi jezi wanavaa wachezaji hazina hata nembo ya klabu?
katika hiki mimi sielewi kabisa yaani wamekumbuka nembo ya gsm wamekumbuka Sportpesa lakini wamesahau nembo ya club
View attachment 1496828
Hahahaha, hivi unajua hata jezi mnazochezea licha ya kua GSM lkn ziko tofauti ? Tazama huko mgongoni
FB_IMG_15936078733077672.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom