Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa. Nimecheka.Vipi mkuu kiwewe kimeanza!?
Hahahahaaa. Nimecheka.
Hapo ikifika tarehe kumi itakuwa mara mbili ya hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo Pacha wa mie. Naona umenisusa. LolPacha upo
Pacha Jiandae kwa maumivu tena julai 12. 😀Pacha upo
Ukitoa kale kafaulo ka Goli kuna kingine alifanya huyo Mwizi? .Nasikia mmemaliza wachawi wote mkiloga asicheze
Wanaendaga kulalamika hadi kwa waganga Wa kienyejiNa bora asicheze. Mbumbumbu hawachelewi kwenda kulalamika FIFA
Ninyi aliwapanda wapi?Mwizi wa Magari Anawapanda kichwani anavyotaka..
Baada ya kushindikana kwa wwganga Eti sahizi ndio wamemrudia Mungu wakimuomba Morrison asicheze dhidi yaoNasikia mmemaliza wachawi wote mkiloga asicheze
Hako hako kafaulo kalipelekea Aishi kukata shangaUkitoa kale kafaulo ka Goli kuna kingine alifanya huyo Mwizi? .
na awemo tuwatandike vizuri
Habari zenu tunazo. 😀😀😀Toka ligi zirudi leo ndo vijana wa Utopolo Wamepanda Ndege
Eti kafaulo lol.Ukitoa kale kafaulo ka Goli kuna kingine alifanya huyo Mwizi? .
na awemo tuwatandike vizuri
😀😀😀Ninyi aliwapanda wapi?
Duuu wanafamilia wengine wamekataa kuidhinisha fedha za nauli ya ndege nini!?