SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Watoto wanajua kubong'oa duh yaani hadi rahaMabingwa halisi wa Tanzania.
Mbumbumbu wanapokea tu kombe leo kwaniaba yaoView attachment 1500906
MAWOWOWO FC.Watoto wanajua kubong'oa duh yaani hadi rahaView attachment 1500932
Dk 65Matokeo vp huko
Asante Bomba fc aka Tako mojaDk 65
Kagera 6 vs Wowowo fc 0
Nasikia leo mmetoa sare ya tatu.Naaaamm na hili ndio Kombe letu msimu huu sisi Utopolo de Mkunungu.
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Sawa Utopolo de Mkunungu.Nasikia leo mmetoa sare ya tatu.
Mganga kawadanganya eti mtoe sare nyingi ili mshinde trh 12.
Eti Yanga walitoa sare nne wakashinda pambano mach 8. Na mbmbumbu wakaamua kutoa sare tatu
.Manara kaulizwa vip kuhusu mechi ya jumapili akasema yy siyo Mungu nikaona Yanga imewapa faida simba ya kumfundisha msemaji wao.. Maneno km tutapiga pasi za puuu paaaaa malaaa kuuu hazijatumika leo baada ya kudhalilishwa tar 04 na tarehe 08 sasa kuelekea tar 12
Mrs Tozi fcAsante Bomba fc aka Tako moja