Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mabingwa halisi wa Tanzania.
Mbumbumbu wanapokea tu kombe leo kwaniaba yaoView attachment 1500906
Watoto wanajua kubong'oa duh yaani hadi raha
FB_IMG_1586931024261.jpg
 
Naaaamm na hili ndio Kombe letu msimu huu sisi Utopolo de Mkunungu.
🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸
 
Attachments

  • 107451395_144093503930633_2024989537840220517_n.jpg
    107451395_144093503930633_2024989537840220517_n.jpg
    11.7 KB · Views: 1
Simba nguvu moja
 
Attachments

  • 107384794_1645514085607600_2203961307979099887_o.jpg
    107384794_1645514085607600_2203961307979099887_o.jpg
    10.7 KB · Views: 1
  • 106664903_1645514628940879_8298488036168566195_o.jpg
    106664903_1645514628940879_8298488036168566195_o.jpg
    8.1 KB · Views: 1
Naaaamm na hili ndio Kombe letu msimu huu sisi Utopolo de Mkunungu.
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Nasikia leo mmetoa sare ya tatu.
Mganga kawadanganya eti mtoe sare nyingi ili mshinde trh 12.
Eti Yanga walitoa sare nne wakashinda pambano mach 8. Na mbmbumbu wakaamua kutoa sare tatu
 
Manara kaulizwa vip kuhusu mechi ya jumapili akasema yy siyo Mungu nikaona Yanga imewapa faida simba ya kumfundisha msemaji wao.. Maneno km tutapiga pasi za puuu paaaaa malaaa kuuu hazijatumika leo baada ya kudhalilishwa tar 04 na tarehe 08 sasa kuelekea tar 12
 
Msilie Utopolo subirini Back to Back 10 ziishe kwanza.

Simba nguvu moja
 
Attachments

  • 102715460_162490508647528_3965509247366341844_n.jpg
    102715460_162490508647528_3965509247366341844_n.jpg
    12 KB · Views: 2
Nasikia leo mmetoa sare ya tatu.
Mganga kawadanganya eti mtoe sare nyingi ili mshinde trh 12.
Eti Yanga walitoa sare nne wakashinda pambano mach 8. Na mbmbumbu wakaamua kutoa sare tatu
Sawa Utopolo de Mkunungu.
 
Attachments

  • 53864640_260075791568814_4339337641062301696_n.jpg
    53864640_260075791568814_4339337641062301696_n.jpg
    6.6 KB · Views: 2
Manara kaulizwa vip kuhusu mechi ya jumapili akasema yy siyo Mungu nikaona Yanga imewapa faida simba ya kumfundisha msemaji wao.. Maneno km tutapiga pasi za puuu paaaaa malaaa kuuu hazijatumika leo baada ya kudhalilishwa tar 04 na tarehe 08 sasa kuelekea tar 12
.
 
Attachments

  • 102665193_1618107401681602_2462908366367751673_o.jpg
    102665193_1618107401681602_2462908366367751673_o.jpg
    9.4 KB · Views: 2
Usiteseke hii ndiyo yangaaaaa bana yenye kuhuisha ubingwa wa simba de mdebwedo uonekane ni sawa na mbeleko ambayo mwenyekuijuwa thaman ni mwana kupakatwa tuuuu .......
Maana huwez ukajuwa km leo mwambereko kakabiziwa kikombe.....
 
Hadi uzi wenu wanamdebwedo mmeukimbia mnakuja kiumeni hapa na maneno ya shombooooo
 
Simba anaunguruma kwa mwaka wa tatu mtawalia.

NGGRRIIIIIIIIIII
 
Attachments

  • 51786719_2221276294788105_7167758963381895168_n.jpg
    51786719_2221276294788105_7167758963381895168_n.jpg
    10.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom