Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hakika Bro.Daaa tutaenda sawa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Bro.Daaa tutaenda sawa tu
Usiwe na haraka Shadeeya bado siku moja tu.Aaah!! Cha kumuogopea kiko wapi? [emoji41]
Mbumbumbu ukitumia njia kama hii kuwafundisha ni sawa na kujisumbua bure mana hawawezi kuelewa chochote zaidi ya kumjibu mwalimu "Yes! Yes!"View attachment 1502889
Tunaendelea kunoa mikuki.
Hatimaye ni masaa sasa.Usiwe na haraka Shadeeya bado siku moja tu.
Simba nguvu moja
Hahahaaaa!! Lugha imekuja na meli ile.Mbumbumbu ukitumia njia kama hii kuwafundisha ni sawa na kujisumbua bure mana hawawezi kuelewa chochote zaidi ya kumjibu mwalimu "Yes! Yes!"
Hivi Banka ndio hayupo kikosini au!!KAMA KAWAIDA TIMU YA WANANCHI JANA JIONI ILIFANYA MAZOEZI KUELEKEA ASFC SEMI FINAL DHIDI YA M B U M B U M B U HAPO BAADAE17:00HRS.
Hivi vijamaa mambo yanapokuwaga magumu huwa vinageuka vizururaji tu uwanjaniUtopolo de Mkunungu siku ya hukumu yenu imefika jiandaeni kisaikolojia leo ni mwendo wa kichapo tu.
Simba nguvu moja
Na hivyo vijamaa ndivyo vitakavyo kumaliza leo.Hivi vijamaa mambo yanapokuwaga magumu huwa vinageuka vizururaji tu uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna timu ya kuogopa sio Simba kitu ambacho wengi wenu hamkijui sisi tunajua tuwashike wapi mtulie!Utopolo de Mkunungu siku ya hukumu yenu imefika jiandaeni kisaikolojia leo ni mwendo wa kichapo tu.
Simba nguvu moja