The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Huyu jamaa namkubali sana aisehMate wa Zlatan Ibrahimovich huyoooo jangwani [emoji91][emoji91]View attachment 1528644
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa namkubali sana aisehMate wa Zlatan Ibrahimovich huyoooo jangwani [emoji91][emoji91]View attachment 1528644
Huyu jamaa namkubali sana aiseh
Aendage tu huyo kama anataka kwenda sababu hapa mwisho mwisho alikuwa anachezea sana benchi na Uwanjani mambo kwa Timu ya Wananchi yalikuwa yanaenda.Ni mpambanaji sana
Ni dalili ya kuachana na Yondani
Signing fee maana yake ni pesa anayopewa mchezaji ili asaini mkataba mpya au ku renew mkataba wake. Nje ya mshahara pamoja na bonus atakazokua anapata kila mwezi au week kwa timu nyingi za ulaya.Mnaojua kuhusu hiyo Signing fee imekaaje eti kwa wachezaji wapya ma wale wenyeji? [emoji848][emoji848][emoji848]
Ooooh!! Sasa imekuwaje hao viongozi washindwe kuwapa hao kina Yondani na kutaka kuwasainisha bure bure?Signing fee maana yake ni pesa anayopewa mchezaji ili asaini mkataba mpya au ku renew mkataba wake. Nje ya mshahara pamoja na bonus atakazokua anapata kila mwezi au week kwa timu nyingi za ulaya.
Mfano Yondani anaweza akasema ili ni saini mkataba mpya nipeni milioni 10, (nje ya mshahara atakaokua analipwa kutokana na mkataba anaousaini)
Sijajua tatizo ni nini, wapo wanaosema umri na pesa wanazotaka haviendani pia wapo wanaosema hio ni gia tu ya kuwaacha.Ooooh!! Sasa imekuwaje hao viongozi washindwe kuwapa hao kina Yondani na kutaka kuwasainisha bure bure?
Duuh!!Sijajua tatizo ni nini, wapo wanaosema umri na pesa wanazotaka haviendani pia wapo wanaosema hio ni gia tu ya kuwaacha.
Vipi mtazamo wako, unaona bora wabaki au waondoke?Duuh!!
Nipo 50 kwa 50 wakiondoka au wakibaki yote sawa tu.Vipi mtazamo wako, unaona bora wabaki au waondoke?
Ok sawa mkuu.. [emoji109]Nipo 50 kwa 50 wakiondoka au wakibaki yote sawa tu.
"Yanga walileta ofa rasmi katika klabu ya Azam FC yakumtaka kiungo Salum Aboubacary (Sure Boy) na mchezaji mwenyewe ameiomba klabu aondoke akapate changamoto mpya." CEO wa Azam FC, Popat Abdulkarim Amin
(SPORTS ARENA).
kuna tetesi yanga wanataka kumsajili Lusajo wa namungo, kwa maoni yangu yule hana tofauti na tariq seif, ni mchezaji wa kawaida sana na si level za yanga.
huyu ni wa ndani lakini style yake ya uchezaji haina tofauti na Tariq, sema Tariq pressure ya timu kubwa imempa changamoto.Angekuwa wa ndani nisingekuwa na shida
Ila kwa mchezaji wa nje, inabidi awe mkali kweli kweli
Yaani mchezaji wa nje inabidi awe piga ua ana uwezo wa kucheza first 11, labda kocha kwa sababu zake aamue kutomwanzisha
huyu ni wa ndani lakini style yake ya uchezaji haina tofauti na Tariq, sema Tariq pressure ya timu kubwa imempa changamoto.
Hata yule Blaise wa kawaida sana, kama Yanga inataka kuchukua ubingwa si aina ya wachezaji wa kwenda pale.
Lusajo ndiyo wa Tz, huyo Blaise sijui wa wapi, ila wote hawana mentality na viwango vya kucheza timu kama yanga na simbaNi mtanzania kumbe Blaise Bigirimana, hata kiswahili chake ni majirani zetu