Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yanga wawe makini sana na huyu Razak Omotoyosi.......

Ni mtu hatari sana huyu.....
 
Safi sana Shaban Kado...........

Mwape anaanguka mwenyewe............Lol!
 
Freekick kuelekea lango la Yanga......Dakika ya 53....

Nsajigwa wanaokoa...
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooal

Yanga 1-0 Zamalek

Hongereni Yanga. Washindilieni na mengine. Zamalek ya sasa siyo ile tunayoijua na Mpira wa Egypt kwa ujumla umeshuka sana baada ya mapinduzi.
 
Freekick kuelekea lango la Zamalek....

Niyonzima anapiga.......Kona.........Wanaokoa
 
Anaingia Amr Zaki sasa.....

Beki ya Yanga inahitaji umakini wa hali ya juu sasa...........Zaki anajulikana makali yake....
 
Inapigwa faulo sasa.....Ni eneo baya sana...

Kijiko anaokoa
 
Hawa Mwasyika na Kdo nini tena??????????......................Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh

Juma Seif Kijiko anadefend vizuri sana...

Hii ni hatari sasa....
 
Huyu Papic si awatoe Mwape na Asamoah......................

Tunashambuliwa sasa....Goal kick...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…