Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Zamalek wanafanya mabadiliko tena..........

Hizi sub zao zina lengo la kubadili mchezo......
 
Yanga tuna tatizo la mtu wa kupiga fouls........Ni heri tungekuwa na mtu maalum hasa Stephano Mwasyika.......Kiiza anang'ang'ania sana kupiga fouls na anapiga hovyo....
 
Tunashambuliwa sasa................Safi sana Cannavaro......

Chuji mzito sana kufanya maamuzi.....Atatugharimu huyu....
 
Juma Seif Kijiko anacheza vizuri sana leo...

Pia Salum Telela......................Asamoah bana......Haraka ya nini?
 
Safi sana.............

Yanga tunakosa goli la wazi kabisa....
 
Chuji bana.................Faulo mbaya kabisa....

Safi sana Mwape nje.......Shamte Ally ndani....

Bado Asamoah sasa.....

Zamalek wanasawazisha........Amr Zaki
 
Dakika 75

Yanga 1-1 Zamalek

Faulo ya Chuji ndio imesababisha yote haya.....
 
Safi sana Shaban Kado....

Sub za Zamalek zilikuwa zina akili

Asamoah anakosa goli kijinga kabisa......Atolewe huyu....

Tunashambuliwa sasa......Washambuliaji wa Zamalek wanajiangusha......Lol
 
Nasikiliza Clouds Fm nashindwa kuwaelewa kama wanatangaza au wanashangilia.
 
Back
Top Bottom