Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga tumecheza vizuri sana leo.....Hasa kwenye safu ya kiungo,Haruna Niyonzima na Juma Seif Kijiko wametawala kiungo muda wote wa mchezo....Tatizo letu lilikuwa ni kwa washambuliaji wa kati,Mwape na Asamoah....Hawa jamaa ni wa hovyo kabisa,wametukosesha magoli zaidi ya 10......Sijabahatika kuona hii mechi lakini kama nilivyosikiliza redioni kama watangazaji hawajawa biased Yanga mmejitahidi ila bahati haikuwa upande wenu, hongereni japo kwa goli hilo moja.
Kwa leo amecheza vizuri......Sema tatizo lilikuwa ni kwenye fouls,alikuwa hajui wapi acheze foul na wapi asicheze foul......Zamalek wamepata goli ambalo limeanzia kwenye foul aliyocheza.....Zaidi ya hapo ni beki mzuri sana ambaye anaelekea kuelewana na Cannavaro hivyo kuimarisha ukuta wa Yanga wambao kwa muda mrefu ulikosa mtu wa kumsaidia CannavaroOk.
Wakati mwingine makocha uwa wanakosea mahesabu yao.
Mh! Kama ameshaacha kucheza namba 5 toka akiwa Polisi,sasa huoni kama kocha kachemsha? Au toka arudi tena Yanga ndio anacheza namba hiyo?
Yanga tumecheza vizuri sana leo.....Hasa kwenye safu ya kiungo,Haruna Niyonzima na Juma Seif Kijiko wametawala kiungo muda wote wa mchezo....Tatizo letu lilikuwa ni kwa washambuliaji wa kati,Mwape na Asamoah....Hawa jamaa ni wa hovyo kabisa,wametukosesha magoli zaidi ya 10......
Goli tumefungwa kutokana na beki yetu kuzubaa wakati foul ikipigwa ilhali sub ikifanyika.......
Yanga wameonesha kiwango kizuri sana leo......
Sijui ni kwa nini Papic anawaweka benchi Pius Kisambale na Jerryson Tegete.....Hawa vijana ni wazuri sana kuliko hao Mwape na Asamoah.......
Mkubwa......Niyonzima na Kijiko ni habari nyingine kabisa......Tunao strikers wazuri sana pale kati....Pius Kisambale na Jerry Tegete ni wazuri sana......Mkubwa kweli leo tumepiga mpira ,Asamoah na Mwape ni magarasa bora hata ya Mwaikimba kuliko hii mibabu imesajiliwa kwa fedha nyingi eti proffesional,wanaweza kuwafunga JKT Ruvu tu.Huyu Niyonzima hata pale Arsenal hakuna anayemfikia
Kenneth Asamoah anakosa goli la wazi................Pambafffffff
Ilikuwaje tena Kado anagombana na mabeki wake??
Mkubwa......Niyonzima na Kijiko ni habari nyingine kabisa......Tunao strikers wazuri sana pale kati....Pius Kisambale na Jerry Tegete ni wazuri sana......
Tatizo ni kwamba Mwape na Asamoah wote wameletwa na Papic......So hata tuseme vipi hakuna mabadiliko atakayoyafanya......Ni magarasa kama ilivyokuwa enzi za Jamba Ba....
hahahaah!! Hebu tuombe radhi.....Mkubwa kweli leo tumepiga mpira ,Asamoah na Mwape ni magarasa bora hata ya Mwaikimba kuliko hii mibabu imesajiliwa kwa fedha nyingi eti proffesional,wanaweza kuwafunga JKT Ruvu tu.Huyu Niyonzima hata pale Arsenal hakuna anayemfikia
I thought jina rasmi la watani ni Dar Young Africans ama Yanga!Kila la heri kule Masri.