Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Waarabu fitna tu hamna kitu ilikuwa tuwachinjie pale Taifa sema magalasa ya nje Asamoh na Mwape ndio walitulostisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimsahau na Kenneth Asamoah...siku ntakaposkia mwape anaondoka yanga i will b so happy cozz jamaa anatukosesha magoli mengi sana ingawa anfunga machache kwa bahati
Mwape na Asamoah si ndo mlikuwa mnawaona mashujaa baada ya kumtungua mnyama kwenye kombe la Kagame pamoja na mechi ya league.siku ntakaposkia mwape anaondoka yanga i will b so happy cozz jamaa anatukosesha magoli mengi sana ingawa anfunga machache kwa bahati
Nsajigwa anapigana uku.
Usimsahau na Kenneth Asamoah...
Yanga 0 ~ 1 Azam
Baada ya Niyonzima kutolewa kwa kadi ya pili ya njano iliyozaa red card Wachezaji wa YANGA wamemvamia Refa na kumtwisha MINGUMI ya kutosha waliompiga refa ni pamoja na Canavaro akisaidiwa na Kijiko, Nurdin na Tegete ambaye alikuwa bench, na baada ya hapo Canavaro naye katolewa kwa kadi Nyekundu, mpaka sasa Yanga wapo pungufu uwanjani wakiwa 9