Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Muhimu ni kushinda zaidi.I thought jina rasmi la watani ni Dar Young Africans ama Yanga!
Au siku imekua Yanga Africans?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimu ni kushinda zaidi.I thought jina rasmi la watani ni Dar Young Africans ama Yanga!
Au siku imekua Yanga Africans?
Kila la heri kule Masri.
Game inaanza saa 1 kamili kwa saa za Afrika Mashariki...hii game ya leo zamalek v yanga ....inaanza saa ngapi? kuna mtu yeyote anajua inaonyeshwa kupitia tv station gani au kama kuna link yoyote online ya kufuatilia matokeo live?
Kikosi kizuri,Game inaanza saa 1 kamili kwa saa za Afrika Mashariki...
Kikosi cha Yanga leo ni hik hapa
1.Shaban Hassan Kado,
2.Shadrack Nsajigwa (C),
3.Stephano Mwasika,
4.Nadir Haroub Cannavaro,
5.Athumani Iddy Chuji,
6.Juma Seif Kijiko,
7.Omega Seme,
8.Haruna Niyonzima,
9.Jeryson Tegete,
10.Kenneth Asamoah,
11.Nurdin Bakari
Subs:
1.Said Mohamed,
2.Godfrey Taita,
3.Oscar Joshua,
4.Chacha Marwa,
5.Shamte Ally,
6.Davies Mwape,
7.Pius Kisambale
Yap.....Ni bora wangeanza Tegete na Mwape badala ya Tegete na Asamoah.....Asamoah anatakiwa awe anaingia 2nd Half.....Pia ni vema angemuanzisha Shamte Ally ama Pius Kisambale badala ya Omega SemeKikosi kizuri,
But Nadhani ingekua vema pale mbele wakaanza tegete na mwape!
Mungu ibariki tanzania,mungu ibariki yanga.
Nadhani kwa omega seme hakuna tatizo sana,but kocha anatakiwa kumuingiza shamte Ally fasta kipindi cha pili.Yap.....Ni bora wangeanza Tegete na Mwape badala ya Tegete na Asamoah.....Asamoah anatakiwa awe anaingia 2nd Half.....Pia ni vema angemuanzisha Shamte Ally ama Pius Kisambale badala ya Omega Seme
Matokeo ni vipi hadi sasa?
wadau wenzangu matokeo hadi sasa vipi? Boli. Limeisha au bado?
Mido kishaua watu aiseee...
[/TD]
[/TD]
[/TD]
Cairo International Stadium