Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

wanaYeboYebo(Yanga) wote ni matatizo tu: siku Yebo yao ikiwa uwanjani updates huwa hawarushi lkn sikilizia mpira uishe na wawe wamebahatika kushinda kelele hadi chooni: Ndo maana Simba itaendelea kuwa Mbele daima.
 
ndetichia like this
 
Yanga kwishney, hizo lambalamba hamuziwezi kabisa. Mumepigwa Mapinduzi , mumepigwa friend match na leo munapata kipogo cha tatu ndani ya miezi 2
 
Dah!mmeamua kuwa mabondia leo mkaanza kumtwanga refa kama mna timu ya ngumi pia si muombe mapambano na kina kaseba na cheka
 
Back
Top Bottom