Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Half Time...... Yanga 1-0 African Lyon Goli limefungwa na Kigi Makassy dakika ya 43
Kwa kuwa Africa Lyon hawapendi fujo kwene mpira kwa kuwa yanga wakifungwa huwa wanawapiga marefa ni bora Africa Lyon wasiwafunge maana itakuwa dhahama..................
 
Kwa kuwa Africa Lyon hawapendi fujo kwene mpira kwa kuwa yanga wakifungwa huwa wanawapiga marefa ni bora Africa Lyon wasiwafunge maana itakuwa dhahama..................

teheh teheh kama kweli vile...
 
Kwa kuwa Africa Lyon hawapendi fujo kwene mpira kwa kuwa yanga wakifungwa huwa wanawapiga marefa ni bora Africa Lyon wasiwafunge maana itakuwa dhahama..................

Kumbuka hiki ni kikosi cha pili,nyie mnaojua kina Okwi,Sunzu,Kaseja,Mafisango but mlitolewa kamasi na vibonde Toto
 
Kumbuka hiki ni kikosi cha pili,nyie mnaojua kina Okwi,Sunzu,Kaseja,Mafisango but mlitolewa kamasi na vibonde Toto

Ktk soccer kuna kitu kinaitwa "Anti-football", na hiki ndicho Toto huwa wanafanya kila wakikutana na Simba.
 
[h=2]VILLA, YANGA KUCHEZA TAIFA[/h]
Timu za Villa Squad na Yanga zinapambana kesho (Machi 17 mwaka huu) katika mechi namba 142 ya Ligi Kuu ya Vodacom itakayofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Viingilio katika mechi hiyo itakayochezeshwa na mwamuzi Oden Mbaga mwenye beji ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) vitakuwa sh. 3,000 kwa viti vya bluu na kijani, sh. 5,000 viti vya rangi ya chungwa, sh. 10,000 kwa VIP C na B na sh. 15,000 kwa VIP A. Mechi hiyo itaanza saa 10 kamili jioni.

Mechi nyingine ya kesho namba 144 itachezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga ambapo Coastal Union watakuwa wenyeji dhidi ya Oljoro JKT ya mkoani Arusha.

Ligi itaendelea tena Jumapili (Machi 18 mwaka huu) kwa mechi mbili. Mtibwa Sugar itaikaribisha Simba kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro wakati Azam watakuwa wenyeji wa Ruvu Shooting Stars kwenye Uwanja wa Azam ulioko Chamazi, Dar es Salaam.

Wakati huo huo, wachezaji wa Yanga walikokosa mchezo dhidi ya African Lyon siku ya jumatano kutokana na kuwa kadi na wengine kusumbuliwa na ugonjwa, leo wachezaji wote wamefanya mazoezi asubuhi.

Wachezaji hao Athuman Iddy Chuji, Haruna Niyonzima na Hamis Kiiza watakuwepo uwanjani baada ya kumaliza kutumikia adhabu ya kukosa kucheza mchezo mmoja, huku Rashid Gumbo, Juma Seif Kijiko na Godfrey Bonny waliokuwa majeruhi wakitarajiwa pia kucheza mchezo wa kesho.

Villa Squad Vs Young Africans kick-off 16:00hrs tomorrow saturday 17.03.2012
Venue: National Stadium -Dar es Salaam

Entrace: VIP A TZS 15,000=,
VIP B & C TZS 10,000/=,
0RANGE STRAIGHT TZS 5000/=,
BLUE & GREEN TZS 3000/=,

VIP B & C TZS 10,000/=,
0RANGE STRAIGHT TZS 5000/=,
BLUE & GREEN TZS 3000/=,

VILLA, YANGA KUCHEZA TAIFA
 
Here's Young Africans Sporst Club line-up to face Villa Squad today.

1.Said Mohamed - 30
2.Shadrack Nsajigwa - 2
3.Oscar Joshua - 4
4.Chacha Marwa -24
5.Athuman Iddy Chuji -18
6.Juma Seif Kijiko - 29
7.Shamte Ally- 15
8.Haruna Niyonzima - 8
9.Davies Mwape -28
10.Kenneth Asamoah -26
11.Hamis Kiiza - 20

Substitutes:
1.Shaban Kado - 1
2.Godfrey Taita -17
3.Bakari Mbegu - 12
4.Godfrey Bonny - 6
5.Kiggi Makasy - 7
6.Idrisa Rashid - 14
7.Pius Kisambale - 11
 
hivi rashidi gumbo vipi mkuu?

kwenye bench (coach) yupo minziro peke yake? maana nasikia yule "mwanga" papic katimua!
 
asante...

Ana beef na Papic so aliapa hatampanga.......Ndio maana naunga mkono Papic kutambaa zake
 
Mh watani fanyeni juu chini hii mechi mshinde jamani la sivyo ligi itakuwa ngumu kwenu. naona villa squad watageuka toto leo
 
Back
Top Bottom