Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yanga kwishney, hizo lambalamba hamuziwezi kabisa. Mumepigwa Mapinduzi , mumepigwa friend match na leo munapata kipogo cha tatu ndani ya miezi 2

ndio maana wakaamua kujaribu labda ubondia watashinda..
 
Attachments

  • mabondia wa yanga...jpg
    mabondia wa yanga...jpg
    15.3 KB · Views: 38
He...!!! yanga wameishia kwenye ngumi tena???

Aisee
duh.jpg
 
Here's Young Africans Sporst Club line-up facing African Lyon today.
1.Said Mohamed - 30
2.Godfrey Taita - 17
3.Oscar Joshua - 4
4.Chacha Marwa -24
5.Bakari Mbegu- 12
6.Ibrahim Job- 25
7.Shamte Ally- 15
8.Shadrack Nsajigwa -2
9.Davies Mwape -28
10.Kenneth Asamoah -26
11.Kiggi Makasi -7

Substitutes:
1.Shaban Kado - 1
2.Abuu Ubwa - 21
3.Idrisa Rashid -14
4.Zuberi Ubwa - 22
5.Pius Kisambale -11

NB:
Haruna Niyonzima anatumikia adhabu ya kukosa mechi moja kwa kuonyeshwa kadi nyekundu
Hamis Kiiza & Athuman Iddy Chuji nao pia wanakosa mechi moja kwa kuonyeshwa kadi 3 za njano, wachezaji hawa 3 watarudi uwanjani kuitumikia timu yao siku ya jumamosi katika mchezo dhidi ya Villa Squad
 
Wary not, Yanga still having a good team: ''line up is not bad''.
 
vipi mboni kado mumemuweka benchi..
Anapumzika......Said Mohamed naye ni mchezaji kama walivyo Kado na Berko so anastahili kucheza.......

Yanga kila mchezaji ana nafasi bana.....Said Mohamed ndio aliwabania Ubingwa Simba mwaka jana......
 
......na ndio maana Yanga tukamsajili kama shukrani kwake
 
Anapumzika......Said Mohamed naye ni mchezaji kama walivyo Kado na Berko so anastahili kucheza.......

Yanga kila mchezaji ana nafasi bana.....Said Mohamed ndio aliwabania Ubingwa Simba mwaka jana......

.......trophy surely going back to where it has always belonged.

for the time being waache simba na azam waendelee kuki-warm kwa muda kiti cha bosi wao!
 
Half Time......

Yanga 1-0 African Lyon

Goli limefungwa na Kigi Makassy dakika ya 43

.......trophy surely going back to where it has always belonged.

for the time being waache simba na azam waendelee kuki-warm kwa muda kiti cha bosi wao!
 
....atakosa hadi filimbi ya mwisho kama walivokosa akina okwi wenu dhidi ya toto hadi wakaanza kuonyesha mambo ya kishirikina wazi wazi. shame!

hivi bado simba ni wachawi pamoja na uzinduzi wa tv show yao..
 
Kweli yanga hakuna kitu yaani Africa Lyon anacheza mpira mzuri anga wamepoteana kabisa.....
 
Back
Top Bottom