Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Waarabu fitna tu hamna kitu ilikuwa tuwachinjie pale Taifa sema magalasa ya nje Asamoh na Mwape ndio walitulostisha sana
 
Congrats Yanga, pamoja na kutolewa mmefanya kweli
 
siku ntakaposkia mwape anaondoka yanga i will b so happy cozz jamaa anatukosesha magoli mengi sana ingawa anfunga machache kwa bahati
 
siku ntakaposkia mwape anaondoka yanga i will b so happy cozz jamaa anatukosesha magoli mengi sana ingawa anfunga machache kwa bahati
Mwape na Asamoah si ndo mlikuwa mnawaona mashujaa baada ya kumtungua mnyama kwenye kombe la Kagame pamoja na mechi ya league.
 
Watani kandambili naomba leo niwaombee njaa. ili msitukalibie kileleni, Azam funga hao yanga tafadhali
 
mmh mbona mapema hivi, watani zangu jamani leo mnakamatika kirahisi hivi poleni
 
uwiii hii nini tena wameona kipigo cha mapema kitazaa aibu
 
[h=6]Yanga 0 ~ 1 Azam
Baada ya Niyonzima kutolewa kwa kadi ya pili ya njano iliyozaa red card Wachezaji wa YANGA wamemvamia Refa na kumtwisha MINGUMI ya kutosha waliompiga refa ni pamoja na Canavaro akisaidiwa na Kijiko, Nurdin na Tegete ambaye alikuwa bench, na baada ya hapo Canavaro naye katolewa kwa kadi Nyekundu, mpaka sasa Yanga wapo pungufu uwanjani wakiwa 9[/h]
 
Yanga 0 ~ 1 Azam
Baada ya Niyonzima kutolewa kwa kadi ya pili ya njano iliyozaa red card Wachezaji wa YANGA wamemvamia Refa na kumtwisha MINGUMI ya kutosha waliompiga refa ni pamoja na Canavaro akisaidiwa na Kijiko, Nurdin na Tegete ambaye alikuwa bench, na baada ya hapo Canavaro naye katolewa kwa kadi Nyekundu, mpaka sasa Yanga wapo pungufu uwanjani wakiwa 9

Ila marefa wetu nao wanaboa.....
 
Back
Top Bottom