Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sijabahatika kuona hii mechi lakini kama nilivyosikiliza redioni kama watangazaji hawajawa biased Yanga mmejitahidi ila bahati haikuwa upande wenu, hongereni japo kwa goli hilo moja.
 
Yanga tumecheza vizuri sana leo.....Hasa kwenye safu ya kiungo,Haruna Niyonzima na Juma Seif Kijiko wametawala kiungo muda wote wa mchezo....Tatizo letu lilikuwa ni kwa washambuliaji wa kati,Mwape na Asamoah....Hawa jamaa ni wa hovyo kabisa,wametukosesha magoli zaidi ya 10......

Goli tumefungwa kutokana na beki yetu kuzubaa wakati foul ikipigwa ilhali sub ikifanyika.......

Yanga wameonesha kiwango kizuri sana leo......

Sijui ni kwa nini Papic anawaweka benchi Pius Kisambale na Jerryson Tegete.....Hawa vijana ni wazuri sana kuliko hao Mwape na Asamoah.......
 
Ok.
Wakati mwingine makocha uwa wanakosea mahesabu yao.

Mh! Kama ameshaacha kucheza namba 5 toka akiwa Polisi,sasa huoni kama kocha kachemsha? Au toka arudi tena Yanga ndio anacheza namba hiyo?
Kwa leo amecheza vizuri......Sema tatizo lilikuwa ni kwenye fouls,alikuwa hajui wapi acheze foul na wapi asicheze foul......Zamalek wamepata goli ambalo limeanzia kwenye foul aliyocheza.....Zaidi ya hapo ni beki mzuri sana ambaye anaelekea kuelewana na Cannavaro hivyo kuimarisha ukuta wa Yanga wambao kwa muda mrefu ulikosa mtu wa kumsaidia Cannavaro
 
Yanga tumecheza vizuri sana leo.....Hasa kwenye safu ya kiungo,Haruna Niyonzima na Juma Seif Kijiko wametawala kiungo muda wote wa mchezo....Tatizo letu lilikuwa ni kwa washambuliaji wa kati,Mwape na Asamoah....Hawa jamaa ni wa hovyo kabisa,wametukosesha magoli zaidi ya 10......

Goli tumefungwa kutokana na beki yetu kuzubaa wakati foul ikipigwa ilhali sub ikifanyika.......

Yanga wameonesha kiwango kizuri sana leo......

Sijui ni kwa nini Papic anawaweka benchi Pius Kisambale na Jerryson Tegete.....Hawa vijana ni wazuri sana kuliko hao Mwape na Asamoah.......

Mkubwa kweli leo tumepiga mpira ,Asamoah na Mwape ni magarasa bora hata ya Mwaikimba kuliko hii mibabu imesajiliwa kwa fedha nyingi eti proffesional,wanaweza kuwafunga JKT Ruvu tu.Huyu Niyonzima hata pale Arsenal hakuna anayemfikia
 
Mkubwa......Niyonzima na Kijiko ni habari nyingine kabisa......Tunao strikers wazuri sana pale kati....Pius Kisambale na Jerry Tegete ni wazuri sana......

Tatizo ni kwamba Mwape na Asamoah wote wameletwa na Papic......So hata tuseme vipi hakuna mabadiliko atakayoyafanya......Ni magarasa kama ilivyokuwa enzi za Jamba Ba....
 
Kama kidonda ni cha wengi, kwanza mimi nilimaindi sana nimekaa juani kulaleki nimeunguaaa halafu ndio vile vijana wanabaki na goli baada kupiga bunduki wanaogopa ogopa :embarassed2:

Hapa bongo dawa ni kuanzisha timu za maeneo tu, Kuwe na Ilala Combine, Sinza United, Mbezi Beach Rangers, Temeke Wonderers, Magomeni town, Kinondoni KIngs, Nyamagana combine, Sporting Bagamoyo etc halafu uone mpira utakavyokuwa bongo. Hizi Yanga na simba hazibadiliki kwakuwa hazina upinzani na ushindani hamna.
 
Mkubwa......Niyonzima na Kijiko ni habari nyingine kabisa......Tunao strikers wazuri sana pale kati....Pius Kisambale na Jerry Tegete ni wazuri sana......

Tatizo ni kwamba Mwape na Asamoah wote wameletwa na Papic......So hata tuseme vipi hakuna mabadiliko atakayoyafanya......Ni magarasa kama ilivyokuwa enzi za Jamba Ba....

Balatanda utadhani ulikuwa unatangaza toka uwanjani :biggrin:
 
DSC04392.JPG

Huyu Nathan ana utani aisee!!
 
Mkubwa kweli leo tumepiga mpira ,Asamoah na Mwape ni magarasa bora hata ya Mwaikimba kuliko hii mibabu imesajiliwa kwa fedha nyingi eti proffesional,wanaweza kuwafunga JKT Ruvu tu.Huyu Niyonzima hata pale Arsenal hakuna anayemfikia
hahahaah!! Hebu tuombe radhi.....
 
Back
Top Bottom