mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Naona umejiandaa kuja kutuchamba. [emoji41][emoji41]
Na itabidi watueleze mana haya ni mambo ya kijinga kutuaminisha uongo.Hapana huu ndo muda sasa muwaulize viongozi wenu.KWANINI WALIWADANGANYA .
mmekaa kimya siku zote leo mtu kaondoka JUMLA mlidhani utani?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
IMEISHA HIYO MTANI.
Tunaendelea na mengine.
Ila kwa aliyoyafanya ni vyema mmetupokea kijiti na nyie mpambane nacho.Hapana huu ndo muda sasa muwaulize viongozi wenu.KWANINI WALIWADANGANYA .
mmekaa kimya siku zote leo mtu kaondoka JUMLA mlidhani utani?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ipo haja Mtani. Na hata yule Injinia nimeshamshusha thamani. πππMsikubali lipite hivi hivi.
Waulizeni GSM nini kimetokea au mnawaogopa?.
Kama wao walisema mchezaji kasaini miaka miwili iweje leo kasaini timu nyingine?.
Hapa ndo ninaposema GSM matapeli
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ila kwa aliyoyafanya ni vyema mmetupokea kijiti na nyie mpambane nacho.
Mana ni kichefuchefu yule.
Fundi au Mwizi? πKaribu fundiView attachment 1530960
Kama nakuona ulivyoona hii kitu mbio ukaona uje kututambia huku Jf.Shadeeya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1530959
Afadhari hili tatizo lime ondokaKaribu fundiView attachment 1530960
pole na hongera kwa kuwa mkweliKweli moyo wangu leo umefyatuliwa ppyaaaaa
(Manara alisema)
Morrison + Chama + MiquissoneKama nakuona ulivyoona hii kitu mbio ukaona uje kututambia huku Jf.
Imeisha iyoooo.
Wapi GSM πππππππKama nakuona ulivyoona hii kitu mbio ukaona uje kututambia huku Jf.
Imeisha iyoooo.
Hahahahahahahahah Wapi GSMNina wasiwasi na GSM sijui kama sio MAMLUKI. π
Naona wanatuuza tu.
Aiseee!!! Ila ndio mpira huu jamani.
Saba hizo veeepeeeee?Morrison + Chama + Miquissone
Jiandae kwa goli 7