Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Pia inabidi wajiulize katika ile list ya wachezaji tunaowaacha kulikuwa na ugumu gani Morison kuwekwa au wale ambao mkataba wao umeisha sababu ukiangalia ametufanyia vituko vya hovyo ambavyo kama mkataba usingekuwepo basi tungemuachilia mbali.

#Hafaiyulejamaa.
Yanga wapo tayari kumuachia Morrison ila wao wanachotaka ni taratibu zifuatwe tu, mpaka sasa wanamkazia sio kwa sababu Yanga haiwezi bila yeye no, shida ni taratibu zifuatwe.

Bila kupindisha maneno jamaa ni kama asset, kama kweli ana mkataba wa miaka 2, basi lazima Yanga walipwe dau la usajili wake. Na ndio hio kitu inayoleta shida mpaka sasa hivi kwa sababu value yake haitakua ya kitoto.
 
Mkuu mimi nasema GSM ndo wana matatizo.
Wao ndo wanatakiwa wa muite mchezaji na mkataba wake na wao waje na mkataba wao.waliomsainisha morrison waitwe waandishi wa habari alafu kila mmoja aone she wapi kasaini miaka miwili au miezi 6.
Hili nalo ni GUMU.
hata kama tunasema mkataba ni SIRI lakini kwa Hali ya sasa ilivyo inabidi morrison na GSM watoe mikataba yao tuone imesainishwa miaka 2 au miezi 6

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Siku zote kwenye ukweli uongo hujitenga, tusubiri tutapata majibu.. Sijui utaratibu upo vp au wao wanaendesha vipi mambo yao hivyo uliyoyasema hapo nashindwa hata niyajibuje kwa sababu sina link yoyote na hao jamaa. Ngoja tusubiri muda utasema.
 
na ndo maana nasema GSM WANA MATATIZO.
ili jambo sasa hivi Lina miezi kadhaa.
Kama wangekuwa wao ndo wa kweli basi wangeshatoa hyo mikataba hadharani.
Makaratasi yapo. GSM atoe yake na Morrison atoe yake.hapo tutaona ni miezi 6 au miaka 2.
Siku zote kwenye ukweli uongo hujitenga, tusubiri tutapata majibu.. Sijui utaratibu upo vp au wao wanaendesha vipi mambo yao hivyo uliyoyasema hapo nashindwa hata niyajibuje kwa sababu sina link yoyote na hao jamaa. Ngoja tusubiri muda utasema.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Yanga wapo tayari kumuachia Morrison ila wao wanachotaka ni taratibu zifuatwe tu, mpaka sasa wanamkazia sio kwa sababu Yanga haiwezi bila yeye no, shida ni taratibu zifuatwe.

Bila kupindisha maneno jamaa ni kama asset, kama kweli ana mkataba wa miaka 2, basi lazima Yanga walipwe dau la usajili wake. Na ndio hio kitu inayoleta shida mpaka sasa hivi kwa sababu value yake haitakua ya kitoto.
Hakika.
 
na ndo maana nasema GSM WANA MATATIZO.
ili jambo sasa hivi Lina miezi kadhaa.
Kama wangekuwa wao ndo wa kweli basi wangeshatoa hyo mikataba hadharani.
Makaratasi yapo. GSM atoe yake na Morrison atoe yake.hapo tutaona ni miezi 6 au miaka 2.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Yamewahi kufanyika wapi haya? 😳
 
Morrison mwizi wa magari (hili nililisikia kutoka kwenu wakati Yanga wanamsajili)

Morrison aliyetapeli Orlando Pirates, DC Motema Pembe

Morrison huyu huyu ndio leo mnaamini maneno yake, au Morrison mwingine? Kama hamuamini msajilini muone
Hayo maneno anasema morrison mwenyewe
Kuwa GSM WAMEGHUSHI SAINI YAKE..
waambieni GSM waache utapeli

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kila mwaka anahama timu, huyu jamaa [emoji23][emoji23]
Screenshot_20200808_094954_com.android.chrome.jpeg
 
Kwani mwanzo mlikuwa hamjui kuwa morrison ni PASUA KICHWA?
Morrison mwizi wa magari (hili nililisikia kutoka kwenu wakati Yanga wanamsajili)

Morrison aliyetapeli Orlando Pirates, DC Motema Pembe

Morrison huyu huyu ndio leo mnaamini maneno yake, au Morrison mwingine? Kama hamuamini msajilini muone Kila mwaka anahama timu, huyu jamaa [emoji23][emoji23]View attachment 1530635

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Unahangaika na photo shop, nakumbuka niliwahi kuona Tshitshimbi akiwa na jezi ya mikia, sasa hivi yuko wapi

Hata hiyo picha ingekuwa kweli, nakwambia kwa Morrison mnapoteza muda kwa kuwa anawatapeli
Hakuna mtu mjanja kama Manara, jamaa anajua kucheza na akili za watu ili tu kuendelea kupata ugali wake pale simba (si jambo baya) kuanzia enzi zile za kwenda Fifa, issue ya Tshishimbi nayo aliwatingisha sana, pia issue ya kujidai anatetemeka tetemeka pale taifa siku ile wamepigwa na Kagera sugar wakatolewa bikra kama sikosei mbele ya JPM, na matukio mengine mengi..

Hivyo kama kama ulivyosema vitu vingine kweli havigutushi kabisa..
 
Umemaliza kila kitu,

Manara anaweza asiwe smart upstairs kwenye mambo ya shuleni

Lakini ni manipulator mkubwa sana, hususani kwa mashabiki wa simba
Hakuna mtu mjanja kama Manara, jamaa anajua kucheza na akili za watu ili tu kuendelea kupata ugali wake pale simba (si jambo baya) kuanzia enzi zile za kwenda Fifa, issue ya Tshishimbi nayo aliwatingisha sana, pia issue ya kujidai anatetemeka tetemeka pale taifa siku ile wamepigwa na Kagera sugar wakatolewa bikra kama sikosei mbele ya JPM, na matukio mengine mengi..

Hivyo kama kama ulivyosema vitu vingine kweli havigutushi kabisa..
 
Yaliyomkuta Mjomba Ngasa ndio yanamsubiri Salum Abubakar. Nimeamini kweli kuna wakati binadamu anachoshwa na hali yake nzuri ya maisha na anajikuta anatafuta changamoto ambazo wakti mwingine zinamuweka kwenye wakati mgumu hata kiuchumi.

Sure Boy anatoka alipokua analipwa mshahara mzuri bila kuzunguushwa anaenda kwenye timu atakapokua anakopwa mshahara wake hata miezi mitatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi mbona unaumia sana!?
Hata akikopwa kama karidhika we haikuhusu
 
Back
Top Bottom