Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kila siku nasema humu watanzania mpira hamjui,mnakurupukia wachezaji sanaNa nikasema huyu jamaa kajua kucheza na akili za wa Tz mana nimesikia sehemu eti anajitapa kwamba anaeza saini Yanga, Simba na Azam halafu akifungiwa anarudi kwao Ghana kula Maisha.
Hivyo si ajabu hawa pia wameingizwa chaka huku akijua dhahiri ana mkataba halali Yanga.
Na sasa agents washajua bongo wababaikaji ,watawapiga Sana hela