Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Na nikasema huyu jamaa kajua kucheza na akili za wa Tz mana nimesikia sehemu eti anajitapa kwamba anaeza saini Yanga, Simba na Azam halafu akifungiwa anarudi kwao Ghana kula Maisha.

Hivyo si ajabu hawa pia wameingizwa chaka huku akijua dhahiri ana mkataba halali Yanga.
Kila siku nasema humu watanzania mpira hamjui,mnakurupukia wachezaji sana

Na sasa agents washajua bongo wababaikaji ,watawapiga Sana hela
 
Wala haiitaji kua na Phd kujua kua dogo anachemka. Hata mjomba Ngasa alionywa sana aachane na Chura FC akaendeleze kipaji chake na kujikusanyia dolari za Trump kule El Mereikh Sudan, Yanga wakamlaghai na "mapenzi ya club". Matokeo yake ndio kama hivyo tena, jua limemchwea, atatafuta timu ya mchangani
Saasaa ulitegemea Ngasa acheze Yanga mpaka lini?

Na pia kwa hali iliyokuwepo Yanga ilibidi tufumbe macho kumuondoa ili kukisuka kikosi chetu upya.
 
Sasa ukweli upo wapi?.
Inakuwaje mchezaji unayemlipa mshahara na ukamsainisha miaka 2.yeye aje atangaze amesaini miezi 6.
Hamuoni kamaa hapo kuna UDANGANYIFU umetokea?..
Na ndo maana nasema GSM NI MATAPELI. mpaka pale watakapotoa ukweli kuwa ni nani muongo kati yao na Morrison
Ujue bana hizi mambo bana hivyo na wewe umeamini anachokisema huyo Morison. Lol

Yaani watu waghushi saini ili kiwe nini?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Wala haiitaji kua na Phd kujua kua dogo anachemka. Hata mjomba Ngasa alionywa sana aachane na Chura FC akaendeleze kipaji chake na kujikusanyia dolari za Trump kule El Mereikh Sudan, Yanga wakamlaghai na "mapenzi ya club". Matokeo yake ndio kama hivyo tena, jua limemchwea, atatafuta timu ya mchangani
Umemwona mbona wapo wengi wa simba na yanga!
 
Saasaa ulitegemea Ngasa acheze Yanga mpaka lini?

Na pia kwa hali iliyokuwepo Yanga ilibidi tufumbe macho kumuondoa ili kukisuka kikosi chetu upya.
Amakweli ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni. Kama sio nyoe vile mliomficha El Mereikh wasiondoke nae

Ila sasa Shadeeya, mpeni japo ukocha wa timu yenu ya vijana(kama mnayo lakini maana kwa usanii tu hamjambo). Itakua sio vizuri kumtupa kabisa ujue🤣
 
Sasa ukweli upo wapi?.
Inakuwaje mchezaji unayemlipa mshahara na ukamsainisha miaka 2.yeye aje atangaze amesaini miezi 6.
Hamuoni kamaa hapo kuna UDANGANYIFU umetokea?..
Na ndo maana nasema GSM NI MATAPELI. mpaka pale watakapotoa ukweli kuwa ni nani muongo kati yao na Morrison

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hivi akili ya yule jamaa unaijua lakini?
 
Nadhani uongo wa GSM na Yanga utaumbuliwa na TFF
 
Tangu lini anayeiga akamzidi aliyeanzisha?🤣

Ila mimi kwenye Yanga Day nafuatikiaga ile kaulimbiu yenu tu, basi. Hebu irudie hapa Shadeeya🤪
Yule anayeiga ndio anakuwaga ameongeza na maboresho na ndio sababu sisi hatujaiita Yanga Day bali ni Wiki ya Wananchi ambapo ndani ya hiyo wiki tunafanya mambo mengi mnoo na si Uwanjani pekee.

-Tunasaidia wasiojiweza
-Tunasafisha mahospitali pamoja na maeneo mbali mbali tena sio kwa Dar pekee bali kwa TZ nzima. Baada ya hapo ndio kilele kinaishia Uwanjani.

Upooooo.
 
Hapo MORRISON AKIWA Na Kocha WAKE mtarajiwa
Hivi akili ya yule jamaa unaijua lakini?
Screenshot_20200808-074814.jpg

Back
Top Bottom