Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ndio mana nikasema TFF ni yao Mikia na ndio waliowapa kujiamini kote huku.
 
Na nionavyo hii kesi yetu itabakia kuwa hadithi tu na haitokaa itolewe maamuzi.

Mana nimeoma sehemu hiyo tarehe 10 sio kwamba tutajua mbivu na mbichi bali eti kesi itaendelea kusikilizwa. Hapo unaona picha gani Mkuu?
 
KAULI YA SIMON PATRICK NAIBU KATIBU MKUU WA YANGA HIYO. 👇 BAADA YA YALIYOTOKEA.

Wananchi Msikubali kuyumbishwa, Hili sakata ndio litakaloleta mageuzi ya mpira Tanzania, kuanzia kwenye mifumo ya haki mpaka kwenye taasisi za mipira.

Serikali ya JPM husimama upande wa wenye haki. CAS pia husimama upande wa wenye haki.

Nawaomba wanayanga msiwe na wasi wasi wa aina yoyote zama za ujanja ujanja zimeshaisha.

The Series is on, vaa miwani ya 3D, agizia kahawa, weka bundle.

Nawatakia mapumziko mema ya sikukuu ya nane nane.

#daimambelenyumamwiko
 
Mbuyu Twite
Hassan Kessy
Yondani

mlizoea vya kunyonga

huko juu tulishaenda kabla yenu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Na nionavyo hii kesi yetu itabakia kuwa hadithi tu na haitokaa itolewe maamuzi.

Mana nimeoma sehemu hiyo tarehe 10 sio kwamba tutajua mbivu na mbichi bali eti kesi itaendelea kusikilizwa. Hapo unaona picha gani Mkuu?
Maamuzi yanaweza kutolewa hata baada ya ligi kuanza, hilo siyo jambo la ajabu. Ila, ilishajulikana kuwa hatochezea Yanga kwa hiyo sioni cha ajabu. Ila, nimeidharau sana Club ya Simba. Just kumsajili mchezaji mwenye kesi kunaonyesha ukosefu wa professionalism.
Ni sawa na kufunga ndoa na mtu mwenye shauri la talaka mahakamani, ndiyo ndoa itaisha lakini ni uhuni.
 
Mbumbumbu hao Mkuu.
 
Ikitokea kwamba viongozi na gsm walitudanganya basi wote watakosa sifa za kuwepo kwenye nafasi zao
 
Ikitokea kwamba viongozi na gsm walitudanganya basi wote watakosa sifa za kuwepo kwenye nafasi zao
Hakika aisee mana watakuwa wametukosea mnooo.

Ila pia najikuta sina imani na TFF tu.
 
Jina la Mbumbumbu hawakubatizwa na legendary Rage kwa bahati mbaya

Hawa jamaa ni mbumbumbu kweli
 
Nataka iwe on record, kwamba

Napinga tapeli Morrison kwenda Mbumbumbu Fc, sio kwa sababu Yanga tunamhitaji saaaana

Napinga utapeli unaofanywa na Morrison na Mikia FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…