Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Mtanii huyu hana nidhamuKAULI YA SIMON PATRICK NAIBU KATIBU MKUU WA YANGA HIYO. π BAADA YA YALIYOTOKEA.
Wananchi Msikubali kuyumbishwa, Hili sakata ndio litakaloleta mageuzi ya mpira Tanzania, kuanzia kwenye mifumo ya haki mpaka kwenye taasisi za mipira.
Serikali ya JPM husimama upande wa wenye haki. CAS pia husimama upande wa wenye haki.
Nawaomba wanayanga msiwe na wasi wasi wa aina yoyote zama za ujanja ujanja zimeshaisha.
The Series is on, vaa miwani ya 3D, agizia kahawa, weka bundle.
Nawatakia mapumziko mema ya sikukuu ya nane nane.
#daimambelenyumamwiko
Aaah!! Nina hakika tunakoelekea tutawaelewa vizuri kilichowaleta Yanga kama ni kheri ama la.Mtanii huyu hana nidhamu
Tuachieni tu.
Hapa ndo janja Janja ya GSM mtailewa.
Kauli ya kimichezo tu hiyo usikasirikeWeee usiniquote kwa kauli za hovyo sipendi.
Hivi quotiana na wanaume wenzio.
mmmh. Kauli gani ya kimichezo hii Mkuu.Kauli ya kimichezo tu hiyo usikasirike
Dah Kazingua kweliWeee usiniquote kwa kauli za hovyo sipendi.
Hivi quotiana na wanaume wenzio.
Yaani umemaanisha kabisa wakati ulikuwa utani..OK sio mbaya let's gommmh. Kauli gani ya kimichezo hii Mkuu.
Hapana mi mtu wa Pwani. Tutaniane ila si kwa kauli zilizo na tafsiri mia mia.
Unajua bana nilichogundua Mtani baadhi ya wanaume utani wenu mpaka mtusiane ndo mnaona unanoga.Dah Kazingua kweli
Watu tuna taniana tu, lakini isivuke mipaka.
Acha uchochezi uchwaraDah Kazingua kweli
Watu tuna taniana tu, lakini isivuke mipaka.
Heeee!!! Haya yaishe Mtani.Yaani umemaanisha kabisa wakati ulikuwa utani..OK sio mbaya let's go
Mkuu imeisha Iyooo.Acha uchochezi uchwara
Mtani Mimi naamini Simba pale tunawatu makini sana kama kina senzo, magoli nk.Aaah!! Nina hakika tunakoelekea tutawaelewa vizuri kilichowaleta Yanga kama ni kheri ama la.
Hahaha tunakukaribisha nafasi zipo za kuhamiaHeeee!!! Haya yaishe Mtani.
Hongereni kwa kumchukua yule kichefu chefu.
Na mimi hilo linanifanya nibakiwe na asilimia chache sana za kuamini kwamba ana mkataba kwetu.Mtani Mimi naamini Simba pale tunawatu makini sana kama kina senzo, magoli nk.
Ni ngumu sana kukurupuka kwenye hili, ukiona hivo jua wamejiridhisha vya kutosha.
Uongozi wa yanga nahisi uliingizwa chaka na GSM
Haitakaa itokee Mkuu. Kwangu ushabiki uko kama imani hivyo ni ngumu mno kuhama.Hahaha tunakukaribisha nafasi zipo za kuhamia
Sasa mtani nawe ujue unaanza kupotosha kama wanavyopotosha GSMUnajua bana nilichogundua Mtani wanaume utani wenu mpaka mtusiane ndo mnaona unanoga.
Hahahaaa. Mtani Ungejua nilivyo na hasira nao hao GSM. Acha tu.Sasa mtani nawe ujue unaanza kupotosha kama wanavyopotosha GSM