Na ile saa nne waliosema tuefuefu ongeza mengine sita hadi saa 12. Teh tehMbongo akikwambia saa 8 . [emoji16][emoji16][emoji16].
Hapo inabidi uongeze Masaa kama 4 au 5 mbele.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Na ile saa nne waliosema tuefuefu ongeza mengine sita hadi saa 12. Teh teh
Dooh!! Hii kazi uliyojipa ni kubwa sana Mtani.Hamjamaliza ya Bernard.. Mshaharibu Azam.. mmeharibu tena Mtibwa, mnasajili mchezaj ambae bado anamkataba
Kwani saa nne mbali basi?Tunaona danganya zenu...lazima tutie pressure, lazima rungu liwapate, hamna pa kujificha
Hapo hapo .. mna msala na azam, mna msala na Mtibwa..
told you about GSM, kuweni nao makini sana, mtajikuta ligi moja lipuli sasa hivi
Huo Msala na Mtibwa ni upi?Tunaona danganya zenu...lazima tutie pressure, lazima rungu liwapate, hamna pa kujificha
Hapo hapo .. mna msala na azam, mna msala na Mtibwa..
told you about GSM, kuweni nao makini sana, mtajikuta ligi moja lipuli sasa hivi
Sio Mtoto mdogo yule Mtani kwa kila anachofanya anajua advantage na dis-advantage.Senzo pale yanga Hana kazi ya kufanya..
Atakuja kujuta maana kaacha godoro kaenda kulalia mkeka.
Huku simba alikuwa CEO yaani kwa cheo chake hakuna pale yangaa anayemfikia hata huyo msola hakuwa anamfikia.
Leo kaacha cheo chake sijui mmemroga kaja kugombea umwenyekiti na msola huko yanga
Hyo ni akili?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Eti tumemloga lol.Senzo pale yanga Hana kazi ya kufanya..
Atakuja kujuta maana kaacha godoro kaenda kulalia mkeka.
Huku simba alikuwa CEO yaani kwa cheo chake hakuna pale yangaa anayemfikia hata huyo msola hakuwa anamfikia.
Leo kaacha cheo chake sijui mmemroga kaja kugombea umwenyekiti na msola huko yanga
Hyo ni akili?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kwani sisi ndio Wajumbe?Hizi tabu mnaleta ninyi na mikataba yenu ya janja janja. Ina maana huko TFF mmeshindwa kuonesha mchezaji aliposajili miaka 2?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kwani sisi ndio Wajumbe?
Kama tumeshindwa kuonyesha hiyo mikataba si watoe hayo maamuzi kinawashinda nini?
Eti tumemloga lol.
Kaipenda Green and yellow huyo. [emoji23]
Umeipata wapi hii au ndio bado upo kwenye hilo godoro mana mi wa kwenye mkeka naona saa tatu sasa.
Dua la Kuku hilo Mtani. Naamini kwa nguvu za Allah atadumu Insha Allah ili mkose cha kuongea.
Umeipata wapi hii au ndio bado upo kwenye hilo godoro mana mi wa kwenye mkeka naona saa tatu sasa.
Na maamuzi ni saa nne. [emoji41]
Dua la Kuku hilo Mtani. Naamini kwa nguvu za Allah atadumu Insha Allah ili mkose cha kuongea.
Mana hapo mnaombea tu na sisi tukorofishane naye. Lol