Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tunaona danganya zenu...lazima tutie pressure, lazima rungu liwapate, hamna pa kujificha

Hapo hapo .. mna msala na azam, mna msala na Mtibwa..

told you about GSM, kuweni nao makini sana, mtajikuta ligi moja lipuli sasa hivi
Kwani saa nne mbali basi?
 
Tunaona danganya zenu...lazima tutie pressure, lazima rungu liwapate, hamna pa kujificha

Hapo hapo .. mna msala na azam, mna msala na Mtibwa..

told you about GSM, kuweni nao makini sana, mtajikuta ligi moja lipuli sasa hivi
Huo Msala na Mtibwa ni upi?
 
Senzo pale yanga Hana kazi ya kufanya..
Atakuja kujuta maana kaacha godoro kaenda kulalia mkeka.
Huku simba alikuwa CEO yaani kwa cheo chake hakuna pale yangaa anayemfikia hata huyo msola hakuwa anamfikia.
Leo kaacha cheo chake sijui mmemroga kaja kugombea umwenyekiti na msola huko yanga
Hyo ni akili?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sio Mtoto mdogo yule Mtani kwa kila anachofanya anajua advantage na dis-advantage.

Hivyo muacheni na huenda kaona huko atakakolalia mkeka huenda akapata usingizi mnono kuliko huko kwenye godoro.
 
Senzo pale yanga Hana kazi ya kufanya..
Atakuja kujuta maana kaacha godoro kaenda kulalia mkeka.
Huku simba alikuwa CEO yaani kwa cheo chake hakuna pale yangaa anayemfikia hata huyo msola hakuwa anamfikia.
Leo kaacha cheo chake sijui mmemroga kaja kugombea umwenyekiti na msola huko yanga
Hyo ni akili?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Eti tumemloga lol.

Kaipenda Green and yellow huyo. 😂
 
MSIJIFANYE MKO BUSY NA KESI HUKO TIEFUEFU , FEI TOTO TUMESHAMSAINISHA HUKO TENA MIAKA 4.

20200811_100129.jpg
 
WACHEZAJI WACHACHE WA TIMU YA WANANCHI WALISHAANZA KUJIFUA HUKU WAKISUBIRI WENZAO.
20200811_100204.jpg
 
Kama yanga hawana mkataba wa morrison wa miaka 2 mnategemea nini?.
Hakuna HURUMA kwenye mambo ya kisherria.
Msije mkaanza kusema mnaonewa kisa ni masikini
Umeipata wapi hii au ndio bado upo kwenye hilo godoro mana mi wa kwenye mkeka naona saa tatu sasa.

Na maamuzi ni saa nne. [emoji41]

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom