Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ahahaha pole ndo shida ya kurithi
 
Kama hii barua yao kwangu naiona ni kutufariji tu tuwaone wao wapo sahihi.

Ila wacha tuone what is next. Mana si ajabu hiyo barua ikawa ndo imefunga kila kitu.
Wanataka wawafanyie kama alichotufanyia manara kadi ya njano kwenda FIFA, maana TFF wameokoa tu viongozi wenu wasipate kesi ya kufoji mkataba
 
Yanga na nyie mtulie.
Mnajipa stress za bure
Hata mie hizi naziona sitiresi Mtani. Why tuhangaike na issue moja kila siku badala ya kuganga mengine?

Sababu wakiipeleka huko mambo yanaanza tena upya na si ajabu mwisho wa siku tukashindwa tena.
 
Ni antonio nugazi nini.Yule msomali anayejiita engineer,ni kweli engineer?au ndo kama kina Prof J ?Viongozi Yanga matapeli tupu. Hakuna professionalism.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti kama Prof J
 
Hii Tanzania mtu anaweza jiita Engineer,kumbe hata VETA tu hajawahi soma.
 
Yah!! Japo kwa upande wangu ingependeza waliohusika wakachukuliwa hatua ili wasirudie huu ujinga tena.

Ahsante Mtan! Ni kweli soka la Bongo ni sitiresi tu.

Hawawezi kuwachukulia hatua, hili kosa likienda kwenye forgery maana yake ni kesi ya jinai.

Ukimsikia yule msemaji wa TFF amejiuma uma pale kwenye kuzungumzia signatures, kwamba imekatwa na aliyesaini ni mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…