Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kama hii barua yao kwangu naiona ni kutufariji tu tuwaone wao wapo sahihi.Mtani Utopolo wenzio hawataki kukubali, wakati Kamati imewastahi Wasipelekwe mahabusu kwa kufoji mkataba.
Ila wacha tuone what is next. Mana si ajabu hiyo barua ikawa ndo imefunga kila kitu.