Hahah kuna muda mtani nakuonea huruma nakwambia hzi stress wanazokupa hustahili hataHata mie hizi naziona sitiresi Mtani. Why tuhangaike na issue moja kila siku badala ya kuganga mengine?
Sababu wakiipeleka huko mambo yanaanza tena upya na si ajabu mwisho wa siku tukashindwa tena.
Tuombage uzima tu , japo nikukumbushe kuwa bado tunaendelea na usajili. 😎,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tano zileeeee...gwara naiona ileeee
Da! haya matusi kwa kweli hakuna budi tuyakubali tu maana viongozi wetu ndo wametufikisha kwenye matusi haya.pasipo wao sisi tusingetukanwa leoMorison hajawahi kuwa Mwizi,Ni mchezaji mzuri sana,Hayo mengine mtuachie sisi sasa.....
Msikate tamaa Utopolo hamjachelewa sana Msajilini BERNARD MEMBE
Unanipa raha sana ukiwa na stress hahahAcha tu yaani imebakia stori na nasikia soon mnamtambulisha.
Ila nazikubali zinafanya hatuwi vifutu. 😂😂😂Hahah kuna muda mtani nakuonea huruma nakwambia hzi stress wanazokupa hustahili hata
Nyie sajilini tu.. bechi letu bado ni bora kuliko first eleven yenuTuombage uzima tu , japo nikukumbushe kuwa bado tunaendelea na usajili. [emoji41]
Wallah hapo kunenepa utapasikia kwa jirani tu.Ila nazikubali zinafanya hatuwi vifutu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tutanenepa saa ngapi sa kama mambo zenyewe ndo hizi. 🙁🙁
Uwiiii!! Huwa sina kiwango cha kuamini kinachofikia huku Mtani.Usijekuta unaamini hiki kituko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. wanajua wameponea kufungiwa, wame negotiate siku 3 wasifungiwe alafu waende huko? thubutu, ni wajinga lakn sio wajinga hv
Hakika Mkuu.Da! haya matusi kwa kweli hakuna budi tuyakubali tu maana viongozi wetu ndo wametufikisha kwenye matusi haya.pasipo wao sisi tusingetukanwa leo
Usitufokee.Nyie sajilini tu.. bechi letu bado ni bora kuliko first eleven yenu
Kanda bench
Kahata bench
Dilunga bench
Mzamiru bench
Ajibu Bench
Miraj Bench
Ndemla Bench
Daah!! Ila kwa aibu wanayoipitia watajifunza siku ingine.Hawawezi kuwachukulia hatua, hili kosa likienda kwenye forgery maana yake ni kesi ya jinai.
Ukimsikia yule msemaji wa TFF amejiuma uma pale kwenye kuzungumzia signatures, kwamba imekatwa na aliyesaini ni mmoja.
Yanga inatafuta kushuka daraja na viongozi wa TTF kufungiwa maisha[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Duuh!!Wallah hapo kunenepa utapasikia kwa jirani tu.
Likiisha ili linaanza la sureboy[emoji23][emoji23]
Aaahh!! Inabidi kuangalia tu sasa Mkuu.Yanga inatafuta kushuka daraja na viongozi wa TTF kufungiwa maisha
Daah!! Ila kwa aibu wanayoipitia watajifunza siku ingine.
Kwahiyo mnaenda FIFA ?[emoji2369][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hilo ndio baya zaidi ya hili la BMWallah hapo kunenepa utapasikia kwa jirani tu.
Likiisha ili linaanza la sureboy[emoji23][emoji23]
Viongozi wa Yanga waache ujanja ujanja kwanini wasingekaa na mchezaji wakasaini mkataba tu bila shida yoyote badala ya kufanya forgery?Hii itakua wanatupoza tu kama ya Manara na kwenda Fifa..
*Kiukweli bado tuna safari ndefu kwa hali hii.
Nakuhakikishia hawatoboi.Kwahiyo mnaenda FIFA ?[emoji2369]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wakileta uswahili huko wataenda kupigwa rungu hata la kusajili.Nakuhakikishia hawatoboi.
Tena bora wafunike kombe mwanaharam apite vinginevyo yajayo yatahuzunisha umma