Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Hahah kuna muda mtani nakuonea huruma nakwambia hzi stress wanazokupa hustahili hataHata mie hizi naziona sitiresi Mtani. Why tuhangaike na issue moja kila siku badala ya kuganga mengine?
Sababu wakiipeleka huko mambo yanaanza tena upya na si ajabu mwisho wa siku tukashindwa tena.