Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Utazipata Mtani japo kwa sasa anga limetulia hivyo mjiandae mana tunaanza kuwashusha mmoja mmoja. lol

Hongereni kwa kukusanya Mtani.
Mwaka huu wananchi tumepatikana sana aise; Mara tupost ndege, Mara tupo airport, mara tuombe selfie na kina ibenenge; Mara tuweke bundle yani full usumbifu

Namkumbuka sana bin kleb alikuwa maneno na vitendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…