πππ Wazee wa tetesi. LolChukueni huyo mwingine tuone
Labda Mtani nikueleweshe tu lengo halikuwa kumfuata huyo Kocha hapo kafuata wachezaji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu anatoka hapo anakuambia rais wa AS VITA kasema Wana Mpango na kocha wao hivyo tumuachie, alafu Shadeeya anawaelewa anashangilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaa. Ilooooo.Barcelona ipi wewe? Sisi ni Bayern sasa na hata mileleπ
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Kwahiyo Injinia kadanganya sio? manake yeye ndio kasema hayo manenoLabda Mtani nikueleweshe tu lengo halikuwa kumfuata huyo Kocha hapo kafuata wachezaji.
Huo ulikuwa tu wasaa wa picha za kumbukumbu baada ya kuwasilisha lililompeleka. Teh.
Naisubiri kwa hamu.Tulia wewe tukutane 18 October tuje tukubarcelonie.
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Acha kunizomea wewe unaniumiza masikio unajua alaaaa.Hahahahaaa. Ilooooo.
Mtahama hama sana mwaka huu.
Isubiri kwa hamu pia jiandae kwa kipigo.Naisubiri kwa hamu.
Niulize hivi mmesajili wachezaji wangapi mpaka sasa eti?
Kadanganyaje?Kwahiyo Injinia kadanganya sio? manake yeye ndio kasema hayo maneno
USINIFOKEE. πAcha kunizomea wewe unaniumiza masikio unajua alaaaa.
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Halafu mkajigamba eti timu bora haisajili sana. LolIsubiri kwa hamu pia jiandae kwa kipigo.
Tumesajili wachezaji 7.
Wacha yaume. πππAcha kunizomea wewe unaniumiza masikio unajua alaaaa.
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
sasa hawa ndiyo wachezaji wenye viwango bora vya kuchezea simba na yanga, big up GSM!
HahahahaOooh!! Tuliwaacha kwanza hawa waliokuwa wanakejeli yanga kusajili wachezaji zaidi ya watano cha ajabu wao wanaelekea kufikisha 08. [emoji23][emoji23]
Timu bora hiyoo.
Hahahaha, namuona madame hapo. Boss kubwa wa As Vita clubKaribu fundi Kisinda na mkata umeme Mukoko View attachment 1540459View attachment 1540460
Hongereni sanaKaribu fundi Kisinda na mkata umeme Mukoko View attachment 1540459View attachment 1540460