Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu anatoka hapo anakuambia rais wa AS VITA kasema Wana Mpango na kocha wao hivyo tumuachie, alafu Shadeeya anawaelewa anashangilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda Mtani nikueleweshe tu lengo halikuwa kumfuata huyo Kocha hapo kafuata wachezaji.

Huo ulikuwa tu wasaa wa picha za kumbukumbu baada ya kuwasilisha lililompeleka. Teh.
 
Labda Mtani nikueleweshe tu lengo halikuwa kumfuata huyo Kocha hapo kafuata wachezaji.

Huo ulikuwa tu wasaa wa picha za kumbukumbu baada ya kuwasilisha lililompeleka. Teh.
Kwahiyo Injinia kadanganya sio? manake yeye ndio kasema hayo maneno
 
Acha kunizomea wewe unaniumiza masikio unajua alaaaa.

Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
USINIFOKEE. 😂
IMG-20191204-WA0001.jpg
 
Mwaka huu TFF Mpaka waelewe maana walisha jiacha uchi hadi mwanachama wa kawaida na mdau wa mpira nchini anawajuwa kama TFF wapo kwa ajili ya Simba. Taarifa ya yanga wasiipokee kwa masikitiko wala nn maana iko wazi na halisia
 
Back
Top Bottom