Yule mtanzania, saizi yupo magharibi anafundisha AcademyNa walisema alishafanya kazi Tz.
Yule aliyekuwaga msaidizi wa Uchebe sio Mrundi yule?
Tuna washambuliaji ambao ndani ya miaka mitatu wana zaid ya goli 120 kwa pamoja..hatuwez kwenda hangaika na mtu wa kufunga goli level za molinga..huyo ni saiz yenukama alikua mzuri si mngemsajili nyie mikia
Tumemuacha sasaTuna washambuliaji ambao ndani ya miaka mitatu wana zaid ya goli 120 kwa pamoja..hatuwez kwenda hangaika na mtu wa kufunga goli level za molinga..huyo ni saiz yenu
Hivyo hivyo mkuu..Vikombe vipi!!?
Vile vyakupewa na tifua tifua?
Aisee hapa kifuatacho ni kilio tu tayari mtu kapigwa.Kitaalamu inaitwaje hii? [emoji23][emoji23]
Akili za nyani bwana, yaani unamtambulisha mchezaji na jezi za timu mbili tofauti,
Baadae mkiambiwa kuwa hakuna mkataba muanze kulialia[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1541075
[emoji120][emoji120]
Mtani lazima tuelewane tu kidogo kidogo. [emoji1787][emoji1787]
Kuna kocha Raul Shungu alifanya kazi nzuri sana bila kumsahau Harieth Makambo ambao hata Simba wamemtafuta bila mafanikio.Sawa Mtani, Wakongoman mnawapenda ila wao hawawapendi.
Hivi ni Mkongoman gani amewahi kufanya makubwa hapo kwenu?
Kuna kocha Raul Shungu alifanya kazi nzuri sana bila kumsahau Harieth Makambo ambao hata Simba wamemtafuta bila mafanikio.
Uwezo wa kulewa au?Uwezo wa LUIS JOSE MIQUISSONE tu ni kikosi kizima Yanga.
Utakua wakujambaUwezo wa kulewa au?
Simba sasa ina sifa zote za kuwa "Ancestors FC".Makazi ya wazee fcView attachment 1541035
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu Mzee mjanja sanaHalafu kawazuga alipokuja kanyoa hizo ndevu eti wakati uso wenyewe unaonyesha alivyo mstaafu. [emoji23][emoji23]
Wewe una bahati mbaya sana kule upo na cheltyako huku na manyani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maumivu kote kote,Timu ya wananchi ..#Nguvu moja msimubujao tunaenda kupindua meza..
Mkia wajipange
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app