Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Kuna mengine yanatufurahishaSi ndio hapo Mtani unajua tena kila tunalolifanya 5imba kwao halifurahishi.
Refer usajili wa Yikpe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mengine yanatufurahishaSi ndio hapo Mtani unajua tena kila tunalolifanya 5imba kwao halifurahishi.
Hahah hvi Mtani mlimbeba kwa ajili ya nini etiYaani kumbeba tumbebe sisi kuchukia mchukie ninyi!? Asee hii dunia bwana!!
Na kama nawaona mnavyoombea kina kisinda wawe kama yeye LolKuna mengine yanatufurahisha
Refer usajili wa Yikpe
Hahah huyo tunamuombea mema ili msimu ujao tumchukueNa kama nawaona mnavyoombea kina kisinda wawe kama wao Lol
Dooohhh.Hahah huyo tunamuombea mema ili msimu ujao tumchukue
Dooohhh.
HahahahaZa asubuhi Mtani.
Kuna siku nilisoma mahali kwamba ulilazimishwa na mzee kuwa Yanga, na uliwahi kujaribu kurudi ambako moyo uliko ukarudishwa tena Yanga.
Kwa hiyo najua kimoyo moyo wewe ni Simba, ila kimwili uko Yanga.
Usiteseke Mtani.
Hahahaha
Hahahaha, asee ,Shadeeya aje kujibu hizi tuhumaHuyu Mtani ni mwenzetu kabisa kwa namna nyingine.
Maana yeye ndiye kwa sehemu kubwa anasababisha washabiki wa Simba wafurike kwenye huu uzi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia Bro.
Kwa kutusajilia wachezaji tunaoamini ni wazuri mana tushaona uwezo wao. Pia kwa kutuletea kikosi chenye sura ya ushindaniHahah hvi Mtani mlimbeba kwa ajili ya nini eti
Yanga nayo haipo nyuma yaamua kuwaleta wapiga gitaa kutoka Congo ili kunogesha siku ya wananchi.
Hivyo mabaya kwetu ndo mazuri kwenu. LolKuna mengine yanatufurahisha
Refer usajili wa Yikpe
Hahahahaaa!!! Sio uliko moyo wangu bana ni uliko moyo wa Shem wako ambaye alinilazimisha tufanane ila nikashindwa bana.Za asubuhi Mtani.
Kuna siku nilisoma mahali kwamba ulilazimishwa na mzee kuwa Yanga, na uliwahi kujaribu kurudi ambako moyo uliko ukarudishwa tena Yanga.
Kwa hiyo najua kimoyo moyo wewe ni Simba, ila kimwili uko Yanga.
Usiteseke Mtani.
😀😀😀Huyu Mtani ni mwenzetu kabisa kwa namna nyingine.
Maana yeye ndiye kwa sehemu kubwa anasababisha washabiki wa Simba wafurike kwenye huu uzi.
Hata Tshishimbi mlimdharau hivyo hivyo na mwisho wa siku mkawa mnammendea na kama sio majeraha basi pia mngemsainisha.Yanga nayo haipo nyuma yaamua kuwaleta wapiga gitaa kutoka Congo ili kunogesha siku ya wananchi.
Wape Salaaaam
Hahahahaaa!!! Sio uliko moyo wangu bana ni uliko moyo wa Shem wako ambaye alinilazimisha tufanane ila nikashindwa bana.
Uwiiii!! Ungejua mi nahisi hata damu yangu ni ya kijani. Teh teh
Me msimbazi utopolo sipawezi.Tupo wengi mbona bila kuwasahau na nyie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hiyo ndo maana halisi ya Timu ya Wananchi.