Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Za asubuhi Mtani.

Kuna siku nilisoma mahali kwamba ulilazimishwa na mzee kuwa Yanga, na uliwahi kujaribu kurudi ambako moyo uliko ukarudishwa tena Yanga.

Kwa hiyo najua kimoyo moyo wewe ni Simba, ila kimwili uko Yanga.

Usiteseke Mtani.
Hahahahaaa!!! Sio uliko moyo wangu bana ni uliko moyo wa Shem wako ambaye alinilazimisha tufanane ila nikashindwa bana.

Uwiiii!! Ungejua mi nahisi hata damu yangu ni ya kijani. Teh teh
 
Tupo wengi mbona bila kuwasahau na nyie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na hiyo ndo maana halisi ya Timu ya Wananchi.
Me msimbazi utopolo sipawezi.
Utumwa mwingi sana mpaka nabebana mabegani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…