Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

huyo carlos kwa ile picha ya pale uwanja wa ndondo aisee anajuuuta sana siku akianza kuijua simba vizuri inavyoendeshwa na kuishi kinyamwezi atashangaaaa
Ndio maana huwa nasemaje Watanzania nyie tunawapa picha tu huku tukijua kabisa maneno mutaweka wenyewe.

Huko Msimbazi kipi mnacho cha ajabu? Semeni tu mlikutana na Morison njaa kali ndio sababu akawashobokea ili aje kuwaibia vizuri.
 
Ndio maana huwa nasemaje Watanzania nyie tunawapa picha tu huku tukijua kabisa maneno mutaweka wenyewe.

Huko Msimbazi kipi mnacho cha ajabu? Semeni tu mlikutana na Morison njaa kali ndio sababu akawashobokea ili aje kuwaibia vizuri.
dada yangu hivi kwa akili yako mnaenda kufanya la maana? uzuri visingizio vipo vya miaka yote...
katika sajili zenu ukitoa wale wakongo haswa yule mwenye matege mfupi aliyejichubua na huyu anayekuja leo yacoub(very good striker)sioni cha kutisha na team haijakaa vizuri kuzoeana na janauary lazima mtimuane muanze kusajili upya na kwenda airport,shaghalabagala bado kesi za mishahara hapo katikati,duh
 
Hayo ni mawazo yako uliyochanganya na ushabiki hivyo siezi kupinga.

Japo nikwambie tu mtasubiri sana hizo mambo zitokee.
 
Hayo ni mawazo yako uliyochanganya na ushabiki hivyo siezi kupinga.

Japo nikwambie tu mtasubiri sana hizo mambo zitokee.
sawa ila si unajua tff, marefa,mo anahonga,sumu vyumbani...msisahau hayoo ooooh na msolla ni pandikizi,mwakalebela pia iringa alitaka kuuza mechi hadi bonge wa watu akalia masikini ya mungu...sijui nimesahau nini hapa,next victim ni msolla tarhe 6/9 mnagongwa na msolla anawashiwa moto siyo wa nchi hii kama wa lissu vile
 
Oooh!! Sawa Mtabiri.
 
Nilicheka sana jana niliona video moja Vijana wa Wananchi wanaimba kuwa huyu Calinyos ni mjukuu wa Onyango. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mechi yenu vs African sport jana mlicheza au mlighairi? Kama mlicheza matokeo yalikuaje

Yule kocha wenu naona kaona picha mnazopiga kwenye kile kiwanja Cha shule ya msingi kaamua kimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaaa!!! Hebu hukooo!!

Mmeshatugeuza Yanga kuwa akademi yenu Mtani [emoji41] niseme tu mlifanikiwa kwa Morisson ambaye ana kiroho cha tamaa na si kwa wengine.
Sio Morrison ni wengi tu,Ombea awe garasa[emoji23]

Hvi mtani kwani mna ndoto ya kuchukua u ubingwa msimu huu!??

Naona mnajisahaulisha kuwa tunayo hatimiliki kwa sasa
 
Uzi wa simba huwa hauna wachangiaji naona wanajazana ujinga mpaka wana kerekana. Wanaamua kutokupashana habari maaana michango yao ni michache ukilinganisha na chama la wana wa jangwani
 
Leo tena Airport
Tunanunua na tiketi kabisa leo inabaki kazi jumapili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…